Tanzanians
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 265
- 385
Ni uhuni wa wazi waziNchi yetu inavuliwa nguo sokoni
Chawa katika ubora wakoHata Mtei, Lissu, Bob Makani, Augustine Mrema, Lipumba, Mbowe na wengine walikuwa wana chama wa CCM. CCM ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga
Mambo ya hovyo sanaAibu ya Samia, aibu ya Ndugai, Aibu ya Tulia, aibu ya CCM.
Hii nchi inaharibiwa na wanawake wanne:-Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana
Copy and paste
CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa usajili wa Esther MatikoDuh! Kumbe Matiko yuko Bungeni kwa kinga ya Tulia Ackson na Mahakama kama viti maalum Chadema ila alishakata kadi ya
Tokea 2022??Highest level of impunity!Amelipwa kama mbunge halali na anapokea kiinua mgongo full wakati hakustahili! Very sad! Kibaya mahakama mmetumika kuendelea kuwaweka kwa injunction ila mfano leo Jaji anaambiwa ajitoe kwenye kesi ile ya wazanzibari dhidi ya Chadema, anasema hadi upande wa pili wasikilizwe huku Chadema hawasikilizwi!Msingi wa amani ni haki na sehemu ya kwanza tunaenda kutafuta haki ni mahakamaniAlafu mnasema kuna uchaguzi wa maana hapa!? Tendeni HAKI tuwe na Amani!
View attachment 3400514
HakikaMambo ya hovyo sana
Thibitisha basi kwa sababu unaongeo mameno ya kijanga leta provesHata Mtei, Lissu, Bob Makani, Augustine Mrema, Lipumba, Mbowe na wengine wana kadi za uwanachama wa CCM. CCM ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga.
Iko hivi, ukiwa na kadi ya chama cha siasa, automatically kadi za mwisho zinauliwa na kadi ya karibuni.Mbona karibu viongozi wote wa Upinzani Wana KADI za CCM umesahau ya Dr Slaa
Bunge la tulia akson limekua bunge la kihuni la mda woteIko hivi, ukiwa na kadi ya chama cha siasa, automatically kadi za mwisho zinauliwa na kadi ya karibuni.
Katiba inavunjwa waziwazi na maksudiKatiba ya nchi unavunjwa waziwazi hivi alafu kuna watu utawasikia eti tuna Jeshi la mfano Afrika!! Nyoooo nyooo nyooo nyingiiii.
Jeshi gani bora lililoapa kuilinda Katiba hapa duniani alafu linakaa kimya Katiba ikivunjwa waziwazi hivi?