GE2025 Esther Matiko ni mwanachama wa CCM tokea mwaka 2022, alikuwa bungeni kwa tiketi ipi?

GE2025 Esther Matiko ni mwanachama wa CCM tokea mwaka 2022, alikuwa bungeni kwa tiketi ipi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana

Copy and paste

CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa usajili wa Esther MatikoDuh! Kumbe Matiko yuko Bungeni kwa kinga ya Tulia Ackson na Mahakama kama viti maalum Chadema ila alishakata kadi ya

Tokea 2022??Highest level of impunity!Amelipwa kama mbunge halali na anapokea kiinua mgongo full wakati hakustahili! Very sad! Kibaya mahakama mmetumika kuendelea kuwaweka kwa injunction ila mfano leo Jaji anaambiwa ajitoe kwenye kesi ile ya wazanzibari dhidi ya Chadema, anasema hadi upande wa pili wasikilizwe huku Chadema hawasikilizwi!

Msingi wa amani ni haki na sehemu ya kwanza tunaenda kutafuta haki ni mahakamaniAlafu mnasema kuna uchaguzi wa maana hapa!? Tendeni HAKI tuwe na Amani!
View attachment 3400514
👀😳😳🙆
 
Back
Top Bottom