mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
OK nyumba ya wote ile mkuu acha kashifa sio vizuriSolution inayohitajika hapa ni ileeee ya KUWABAMIZA hao wahalifu wenzio ili wakitoka wawe na stori ya kukusimulieni nyie wahujumu wa taifa, walarushwa, mafisadi, wapiga dili na wachochezi na wavuruga-amani ya nchi. Umeelewa, umelewa, ama umeelemewa?
Hakuna mwenye guarantee ya kutokwenda jela either kwa kutenda au kusingiziwa. Hivyo usijione upo salama.Solution inayohitajika hapa ni ileeee ya KUWABAMIZA hao wahalifu wenzio ili wakitoka wawe na stori ya kukusimulieni nyie wahujumu wa taifa, walarushwa, mafisadi, wapiga dili na wachochezi na wavuruga-amani ya nchi. Umeelewa, umelewa, ama umeelemewa?
Mzee wa kuongeza fast jetMasha alipokuwa Waziri wa mambo ya ndani naye alikuwa na kejeli hivi hivi, siku ya siku wakamjaza ndani mwenyewe siku 3 alitoka anataka mfumo wa mahabusu ufumuliwe haraka.
Bora uingie kaburini lakini siyo haya magereza ya kibongoMbunge huyu ana hoja ya maana hata kama ni wa chadema.Imagine mama yako mzazi,dada yako,mkeo,mwanao wa kike yupo kwenye siku zake anabaki uchi anaruka kichura chura ili akaguliwe.Nimejiskia vibaya sana kwa kitendo hiki kufanyiwa mtu.Lakini ewe Binti Matiko sherua si zinatungwa huko Bungeni?wekeni sheria sawa sio kula posho na kukopa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.Pia msisahau kurekebisha fao la kujitoa ni ukoloni mambo leo.Nchi a wenzetu zilizoendelea unaweza kukopeshwa hata kama huna dhamana ukiwapa business proposal wakiichambua unakopa,sisi tumekazania vitu vya kikoloni.Shangaeni kwa wenzetu mtu ana miaka 18 amemaliza chuo kikuu sisi tunaingia madarasa na madarasa bila kujua tulifanyiwa vile ili kucheleweshwa.
Hiyo ni sehemu ndogo sana ya ukiukwaji wa haki za binadamu maeneo ya magereza na zile mahabusu za police ingawa kasheshe za magereza ni maradufu kwa ukiukwaji wa haki za binadamu. Tena wao ni vile wanakuwa na chambichambi za rushwa kuwahonga nyapara na askari magereza.Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, ameitaka Serikali kufunga mashine maalum kwenye Magereza ili kuondoa malalamiko ya Wafungwa kukaguliwa wakiwa uchi wa mnyama jambo ambalo ni kinyume na Haki za Binadamu.
“Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa unakaguliwa na hata kama ni mama upo kwenye siku zako utaruka kichurachura ili waone kama kuna kitu umeficha huku chini"- Ameeleza Esther Matiko.
Tuwe na vifaa vya kisasa vya ukaguzi, kama kuna kitu ameweka tumboni kitaonekana kuliko wanavyofanya sasa hivi, ni udhalilishaji
Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema ukaguzi wa namna hiyo ni mapokeo ya kikoloni na yanaondoa Utu wa Mtu kwasababu sio sawa kwa Wanawake na hata Wanaume kukaguliwa kwa hali ya udhalilishaji.
Aidha, Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amemtaka Mbunge kuweka wazi ni wapi matukio kama hayo yanafanyika ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua.
Tetetete, sheria za serikali ya CCMMimi mwenyewe niliacha jeshi kwa sababu kama hizo eti siku ya interview unavua nguo zote unainamishwa unakaguliwa kwenye makalio kama nywele za makalio zipo.
Tanzania bado baadhi ya taasisi zina mifumo ya ajabu sana.
Hakuna mwenye guarantee ya kutokwenda jela either kwa kutenda au kusingiziwa. Hivyo usijione upo salama.
BTW, siku ukiingia halafu wakakutia vidole na wakuchungulie kwenye tundu lako la haja kubwa ndio utajua umuhimu wa hili linalozungumzwa.
Walimgeuza 3 daysMzee wa kuongeza fast jet
Ungejua kuwa sio wote wanaoingia magereza wanakuwa na hatia usingeandika huo upuuzi!Solution inayohitajika hapa ni ileeee ya KUWABAMIZA hao wahalifu wenzio ili wakitoka wawe na stori ya kukusimulieni nyie wahujumu wa taifa, walarushwa, mafisadi, wapiga dili na wachochezi na wavuruga-amani ya nchi. Umeelewa, umelewa, ama umeelemewa?
Kama una akili timamu huwezi kuingia kwenye haya majeshi ya kipuuziMimi mwenyewe niliacha jeshi kwa sababu kama hizo eti siku ya interview unavua nguo zote unainamishwa unakaguliwa kwenye makalio kama nywele za makalio zipo.
Tanzania bado baadhi ya taasisi zina mifumo ya ajabu sana.
OK nyumba ya wote ile mkuu acha kashifa sio vizuri
Ungejua kuwa sio wote wanaoingia magereza wanakuwa na hatia usingeandika huo upuuzi!
Watu wanabambikwa kesi za uhujumu uchumi, mara pembe za ndovu n.k acha kutetea ujinga nchi yetu imejaa uonevu, kuna mwanafunzi Hai amefungwa miaka 3 kwa kuonewa, demu kaibuka kwenye vyombo vya habari kasema ukweli tena mwaka huu, wengi wamefungwa kwa uonevu. kufungwa ni kufungwa tu hata ukifungiwa Impala hotel pazuri kuliko hata kwako lakini uhuru wa mtu ni kitu kingine kabisa.Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Siku wakikubana akili zitakaa sawaUnamjua mhalifu wewe, au unasimuliwa tu!??? Imagine yule kijana A Town aliyembaka mbibi, then akamnyonga. Be serious sometimes, sawa!??? Tena nasema sheria hukoooo ziwekwe kando watu waminywe haswa hadi akili ziwakae kumkichwa.
Bora wakoloni yaani tumeachiwa mashetani kabisaHuyo Ndugai hajui kama CCM ni mkoloni mweusi, mambo tunayofanyiana ni ya kijinga hata mkoloni mweupe akituona atatucheka, waliondoka wakoloni weupe physically but mentally wametuachia urithi.
aisee muwe mnasoma thread mpaka mwisho kabla hamjatoa maoni yenu.Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Hatari sn na nusu mkuuKama nchi tuna mifumo ya hovyo sana sana hivi kweli Karne ya 21 Bado huo upuuzi unaendelea ni aibu kubwa sana yaani daaaaa
Hivi mbaka hua najiuliza sie waafrika hatuna akili za kujiongeza au tunasubiri mbaka mabeberu yatoe order kwamba hebu achaneni na kicho fanyeni hivi!
Ndio sisi Kama makondoo tuwafuate
Maana Kuna vitu Kama binadamu tuliokamilika hatuhitaji kujifikiria mara mbili kuvifanyia marekebisho!