Ndo wakae uchi ???Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Ni mambo ya hovyo snHamna anayeipenda, wanajikomba komba huko ili wapate chakulaa waende chooni kunya, ila ipo siku hawataamini tutakapowaondoa madarakani hao majangili, hataonewa huruma mshirika wao awaye yeyote yule
Bora kuwa kaburini na siyo gerezaniYaan magereza yote tz lazima uvue nguo zote halafu unaweka mikono nyuma kama watumwa harafu unalazimshwa unye kwenye "MTONDOO" ndoo zile bati usipokunya kesho unakunywa bakuli la uji wamoto halafu kunya kuna kuhusu sio mchezo[emoji35][emoji35]
Bora wakoloni yaani tumeachiwa mashetani kabisa
Labda mpaka achore kwenye ubaoKwani aliposema kufungwe mashine maalum hajatoa solution ya tatizo?
Acha kutetetea ujingaUkiwa mhalifu usidhani ni wote, sawa!???
Sorry nilikuwa sijakuelewa mkuuUkiwa mhalifu usidhani ni wote, sawa!???
Km kujiunga na jeshi vile kukaguliwa kinyeo, udhalilishaji tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana hiyo mbn ni kawaida na ipo magereza yote Tanzania pindi mnapoingia tu mnakaba foleni mkiwa watupu aisee kama kuna kipengere kigumu jela ni hiko maana mtarushwa kichura kama dk 30 mpaka wakuone unatambaa ndo utaambiwa chukua nguo zako hapo hata kutembea shughuli wanadai eti kama ulikua na wazo la kutoloka basi hapo magoti hata kupiga hatua huwezi unakua hoi kama ulikua na tumbo la kuharaa unayamwaga mtu mzima kiufupi ni uzalilishaji
Ukiambiwa kati ya gereza la Tanzania na kaburi bora kaburiHiyo ni sehemu ndogo sana ya ukiukwaji wa haki za binadamu maeneo ya magereza na zile mahabusu za police ingawa kasheshe za magereza ni maradufu kwa ukiukwaji wa haki za binadamu. Tena wao ni vile wanakuwa na chambichambi za rushwa kuwahonga nyapara na askari magereza.
Kuna mateso na utesi wa kila aina ni vile tu hakuna taarifa za wazi
Kwa kifupi usiwe sababu ya mwingine kuingia kule hasa kwa uonezi.
.
Amesema zifungwe mashine maalumu za ukaguzi, au hujasoma kila kitu?! Lakini hapo kwamba amelaaniwa anayemsingizia Mtu na kumpeleka gerezani, labda Upo Sawa, kwa sababu kilicho mpleka Matiko na wenzake gereni ni kifo Aquillina, ambacho kimsingi, kilitokana na risasi iliyo piga samasoliti hewani!Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Ulaya ipi mkuu?!Matiko tuliza tako hata magereza ya Ulaya kuna kioo unaambiwa chuchumaa kinamulika tundu kama mfungwa kapiga plug.Tii sheria bila shurutiiii.
Basi utakua hujawai kusafiri kwa ndege, siku ukikanyaga Airport tu, utaelewa kama zimepigwa marufuku duniani kote au zinafanya kazi duniani kote! Au tusiende mbali, kaingie mlimani city tu pale!Hizi ndio zile zinazopigwa marufuku dunia nzima kuwa mionzi ina madhara kwa afya au zingine?
Ulaya yenyewe western Europe.Ulaya ipi mkuu?!
Ni kweli, bwana Kitwanga na mh. naibu waziri Waitara, ni mwenyekiti wetu pia! Their nick name ni Mbowe!
Alikua anawaza bar yake Titanic kule vingunguti.Ina maana huyu Waziri alikuwa usingizini wakati huyo Mbunge anataja Gereza la Segerea?