Esther Matiko: Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa "unakaguliwa na hata kama ni Mama utaruka kichurachura"

Esther Matiko: Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa "unakaguliwa na hata kama ni Mama utaruka kichurachura"

Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.

Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.

Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Ndo wakae uchi ???
 
Yaan magereza yote tz lazima uvue nguo zote halafu unaweka mikono nyuma kama watumwa harafu unalazimshwa unye kwenye "MTONDOO" ndoo zile bati usipokunya kesho unakunywa bakuli la uji wamoto halafu kunya kuna kuhusu sio mchezo[emoji35][emoji35]
Bora kuwa kaburini na siyo gerezani
 
Hapana hiyo mbn ni kawaida na ipo magereza yote Tanzania pindi mnapoingia tu mnakaba foleni mkiwa watupu aisee kama kuna kipengere kigumu jela ni hiko maana mtarushwa kichura kama dk 30 mpaka wakuone unatambaa ndo utaambiwa chukua nguo zako hapo hata kutembea shughuli wanadai eti kama ulikua na wazo la kutoloka basi hapo magoti hata kupiga hatua huwezi unakua hoi kama ulikua na tumbo la kuharaa unayamwaga mtu mzima kiufupi ni uzalilishaji
Km kujiunga na jeshi vile kukaguliwa kinyeo, udhalilishaji tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
..Nimeona clip You tube wanasema hata kule Merelani kwenye ukuta wa Mgaufuli wakati wa kutoka nao pia huvuliwa nguo na kukaguliwa kama wamebeba madini!
 
Hiyo ni sehemu ndogo sana ya ukiukwaji wa haki za binadamu maeneo ya magereza na zile mahabusu za police ingawa kasheshe za magereza ni maradufu kwa ukiukwaji wa haki za binadamu. Tena wao ni vile wanakuwa na chambichambi za rushwa kuwahonga nyapara na askari magereza.

Kuna mateso na utesi wa kila aina ni vile tu hakuna taarifa za wazi

Kwa kifupi usiwe sababu ya mwingine kuingia kule hasa kwa uonezi.

.
Ukiambiwa kati ya gereza la Tanzania na kaburi bora kaburi
 
Waziri anajifanya hajui hilo ? Mbona magereza yote mwendo ndio huo ? Full kudhalilishanaa
 
Matiko tuliza tako hata magereza ya Ulaya kuna kioo unaambiwa chuchumaa kinamulika tundu kama mfungwa kapiga plug.Tii sheria bila shurutiiii.
 
Hivi Kamanda Mbowe pamoja na wengine nao walifanyiwa hivi hivi, au wao wakubwa huwa wanapewa ka upendeleo flani
 
Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.

Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.

Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Amesema zifungwe mashine maalumu za ukaguzi, au hujasoma kila kitu?! Lakini hapo kwamba amelaaniwa anayemsingizia Mtu na kumpeleka gerezani, labda Upo Sawa, kwa sababu kilicho mpleka Matiko na wenzake gereni ni kifo Aquillina, ambacho kimsingi, kilitokana na risasi iliyo piga samasoliti hewani!
 
Hizi ndio zile zinazopigwa marufuku dunia nzima kuwa mionzi ina madhara kwa afya au zingine?
Basi utakua hujawai kusafiri kwa ndege, siku ukikanyaga Airport tu, utaelewa kama zimepigwa marufuku duniani kote au zinafanya kazi duniani kote! Au tusiende mbali, kaingie mlimani city tu pale!
 
Back
Top Bottom