Esther Matiko: Wanaobaka wahasiwe

Mimi naona hiyo siyo suluhu na wala siyo fundisho.Viongozi wa dini wanaweza kutusaidia kumwomba Mungu ili kulinusuru taifa na laana.
 
huyu ni ktk wale 19 wanaopumulia mirija?
 
Kama wanaweza kuwa na ushahidi beyond reasonable doubt hapo kuna point. Na pia iwe kwa minor tu below 16.

Maana kuna wengine huwa wanachomekewa.... Mpaka ndoa za mkeka. It's very common RSA na Eswatini watu kubambikiziwa kesi na mademu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…