Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhasiwa ndo kufanyaje?
Mimi naona hiyo siyo suluhu na wala siyo fundisho.Viongozi wa dini wanaweza kutusaidia kumwomba Mungu ili kulinusuru taifa na laana.Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko akichangia leo bungeni mjini Dodoma amesema kutokana na kuibuka kwa matukio mengi ya ukatili wa watoto anafikiria kuwa wanaobainika kufanya hivyo wahasiwe ili kuifanya jamii ya kitanzania kuwa salama.
=======
Esther Matiko: Kumekuwa na matukio ya kikatili dhidi ya watoto kwenye Taifa letu ambayo yamekuwa ni muendelezo. Ntacite mifano ambayo nimeishuhudia kwa wiki moja tu hii.
Jana kwenye jimbo la Shinyanga mjini kuna mtoto wa mwaka mmoja miezi 11 amebakwa na baba wa kambo, amepelekwa hospitalini Kambarage wakamrefer kwenda Bugando, ameharibiwa ametobolewa kote, mbele nya nyuma yule mtoto, inasikitisha sana, mtoto wa mwaka mmoja na miezi 11. Mengine yamekuwa reported, mengine sio reported.
Kama Taifa huyu mtoto hata akipona ataathirika kisaikolojia, sasa wapo wangapi kama hawa kwenye Taifa letu! Tunachukua hatua gani!
Songea kuna kijana wa miaka 19 amebaka na kulawiti watoto wa shule ya msingi zaidi ya nane wadogo. Iringa watoto wamelawitiwa na kubakwa wadogo.
What are we doing, tunafanya nini kama Taifa kwani hata hizi sheria tunazoweka naona kama zinakuwa loose, at a time unafikiria hata hawa watu wawe wanahasiwa kabisa or even you remove tha part ili jamii iweze kukaa vizuri.
Inaumiza sana kama Taifa na kama mzazi naumia.
Watafanyia kwenye chama Chao wataomba radhi yataisha, Siasa mchezo wa hovyo sana.Hivi baada ya bunge hili kuisha,yaani 2025,huyu na wenzake 18 watafanyia chama kipi kampeni?
Inawezekana kabisa mkuu......Lakini inawezekana!
huyu ni ktk wale 19 wanaopumulia mirija?Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko akichangia leo bungeni mjini Dodoma amesema kutokana na kuibuka kwa matukio mengi ya ukatili wa watoto anafikiria kuwa wanaobainika kufanya hivyo wahasiwe ili kuifanya jamii ya kitanzania kuwa salama.
=======
Esther Matiko: Kumekuwa na matukio ya kikatili dhidi ya watoto kwenye Taifa letu ambayo yamekuwa ni muendelezo. Ntacite mifano ambayo nimeishuhudia kwa wiki moja tu hii.
Jana kwenye jimbo la Shinyanga mjini kuna mtoto wa mwaka mmoja miezi 11 amebakwa na baba wa kambo, amepelekwa hospitalini Kambarage wakamrefer kwenda Bugando, ameharibiwa ametobolewa kote, mbele nya nyuma yule mtoto, inasikitisha sana, mtoto wa mwaka mmoja na miezi 11. Mengine yamekuwa reported, mengine sio reported.
Kama Taifa huyu mtoto hata akipona ataathirika kisaikolojia, sasa wapo wangapi kama hawa kwenye Taifa letu! Tunachukua hatua gani!
Songea kuna kijana wa miaka 19 amebaka na kulawiti watoto wa shule ya msingi zaidi ya nane wadogo. Iringa watoto wamelawitiwa na kubakwa wadogo.
What are we doing, tunafanya nini kama Taifa kwani hata hizi sheria tunazoweka naona kama zinakuwa loose, at a time unafikiria hata hawa watu wawe wanahasiwa kabisa or even you remove tha part ili jamii iweze kukaa vizuri.
Inaumiza sana kama Taifa na kama mzazi naumia.
Na wanawake wanaobaka wanaume wakeketwe?