Tender ilitangazwa mwezi wa 12 kama sikosei Estim wanapiga kazi istoshe JPM anamkubali sana yule mdosi wa Estim walitoka mbali tangu enzi za ujenziHiyo tender ilitangazwa lini na wapi?
Tenda itatangazwa ujenzi wa bara bara ukikamilika.🙄Hiyo tender ilitangazwa lini na wapi?
ESTIM wana afadhali kuliko wachina1. Bomoa bomoa ya ubungo kimara imesitishwa hadi mwakani kupisha upanuzi wa mwendo kasi kuanzia kibo hadi kimara.
2. Estim wamekabidhiwa upanuzi wa kimara kibaha njia sita.
Haya yamesemwa na mkuu wa tanroads Dar akihojiwa na mwananchi.
TANROADS wameamua kucheza na akili zetu na kuchezea fedha zetu na maisha yetu.
Hao wahindi sidhani kama watauweza huo mradi,
wako vizur hata chuo cha science nelson mandela cha Arusha kilijengwa na hii kampuniunaongea bila kuwajua unaowaongelea.. nitajie barabara gani kwa sasa hapa tanzania ina ubora kama ile ya msata -bagamoyo na hao ESTIM ndio waliojenga hyo barabara sio kila kitu unacriticise sometime fanya research ya kujua CV ya huyo unayemcriticise au kisa shubash patel ni mhindi ndo imekuwa nongwa
Hii kampuni ni ya Nani?
Wapo vizuri sana Estim mkuu.unaongea bila kuwajua unaowaongelea.. nitajie barabara gani kwa sasa hapa tanzania ina ubora kama ile ya msata -bagamoyo na hao ESTIM ndio waliojenga hyo barabara sio kila kitu unacriticise sometime fanya research ya kujua CV ya huyo unayemcriticise au kisa shubash patel ni mhindi ndo imekuwa nongwa
labda kuna kitu hatujakielewa..Hao wahindi sidhani kama watauweza huo mradi,
labda kuna kitu hatujakielewa..
mwendo kasi inapanuliwa kutoka kibo hadi kimara? kivipi?
na njia sita hadi kibaha hii ni bara bara za kawaida wataziweza