Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
1. Bomoa bomoa ya ubungo kimara imesitishwa hadi mwakani kupisha upanuzi wa mwendo kasi kuanzia kibo hadi kimara.

2. Estim wamekabidhiwa upanuzi wa kimara kibaha njia sita.

Haya yamesemwa na mkuu wa tanroads Dar akihojiwa na mwananchi.

TANROADS wameamua kucheza na akili zetu na kuchezea fedha zetu na maisha yetu.
 
ESTIM wana afadhali kuliko wachina
 
Hao wahindi sidhani kama watauweza huo mradi,

unaongea bila kuwajua unaowaongelea.. nitajie barabara gani kwa sasa hapa tanzania ina ubora kama ile ya msata -bagamoyo na hao ESTIM ndio waliojenga hyo barabara sio kila kitu unacriticise sometime fanya research ya kujua CV ya huyo unayemcriticise au kisa shubash patel ni mhindi ndo imekuwa nongwa
 
wako vizur hata chuo cha science nelson mandela cha Arusha kilijengwa na hii kampuni
 
unaongea bila kuwajua unaowaongelea.. nitajie barabara gani kwa sasa hapa tanzania ina ubora kama ile ya msata -bagamoyo na hao ESTIM ndio waliojenga hyo barabara sio kila kitu unacriticise sometime fanya research ya kujua CV ya huyo unayemcriticise au kisa shubash patel ni mhindi ndo imekuwa nongwa
Wapo vizuri sana Estim mkuu.
 
Estim wako vyema in capital,equipments na personel..uhusiano wao na konoike umewabeba sana,sasa wanaweza compete na mchina squarely!
1.bagamoyo _ msata.
2.morroco _ mwenge
3.mbezi mwisho_tangi bovu
4.makumbusho bus stand sorrounding roads
5.morroco square.
6.posta twin towers.
 
labda kuna kitu hatujakielewa..
mwendo kasi inapanuliwa kutoka kibo hadi kimara? kivipi?
na njia sita hadi kibaha hii ni bara bara za kawaida wataziweza

mwendo kasi sidhani kama unapuniliwa ..hiyo inayopanuliwa kibo -ubungo ni morogoro road na inatokana na interchange ya ubungo...yani hyo njia inayopanuliwa ndo inaungana na samnujoma road ukiwa unatokea kimara ww hutapanda zile barabara za juu kama unaelekea mwenge utachepukia kwanzia kibo..... kuhusu six lane hao jamaa wanaweza wameshafanya miradi kadhaa na wameifanya kwa kiwango thats why wamepewa hyo tenda na ni kampuni ya wazawa...
 
Ewaaaa sasa ni zamu ya mhindi, nishachoka mambo za wachina tu kila siku, majengo ya hostels za udom ni ushahidi tosha juu ya ujenzi mbovu wanaoufanya wachina, mchina yuko makini majengo yake anayajenga ktk msingi mzuri wa kiusalama isipokuwa finishings na vitu kadhaa kama vile vyoo, pipelines sehemu za mabafu etc huko kote wanakoroga kabisa mno
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom