Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

Wale walikuwa wanaitwa interbetton ambao sasa wanajiita BAM...dutch!
 
Unajua kazi ya Bank ya Baroda na Bank of India hapa Tanzania?Chunguza hapo ndio utajua kama hela za wahindi zinabaki nchini au zinarudi India.

Au wao kua na makazi Bongo inakudatisha saaaana?
Acha chuki kiogozi, unajua mawaziri gani wastaafu watanzania ambao wametorosha hela nje ya nchi kupitia BOT kupeleka uswis? tena wanaenda kuendeleza kujenga nchi za wazungu?
 
Acha chuki kiogozi, unajua mawaziri gani wastaafu watanzania ambao wametorosha hela nje ya nchi kupitia BOT kupeleka uswis? tena wanaenda kuendeleza kujenga nchi za wazungu?
Ndio nawajua,kwa hio ina justify sio?
 

kuna consultant na contractor , design ni shughuli ya consultant, mkandarasi kazi yake ni kufuata kile consultant alichodesign!
 
Ile barabara hata dereva unajihisi hupo tz, barabara inaongea, usiku ndio usiseme, kitu kinaongea balaa
Inapendeza sana hata kwa kuiangalia, kuna ujenzi unaendelea kutoka mafinga hadi igawa inajengwa na wachina inaonekana barabara nayo ipo vizuri japo haijaisha natamani sana nayo iwe kama ya iyovi - mafinga.
 
Naomba kujua kampun inayojenga barabara pale mafinga ukiwa unaenda mbeya kiukwel uki drive kwenye njia ile unahisi hauko Tanzania ingawa haijakamilika ila hongera kampuni hiyo.
 
Umepotosha.
Interbeton(BAM Internation bv Tanzania branch) ni kampuni la Kiholanzi.
Barabara ya Tunduma - Swax imejengwa na makampuni ma3 ikiwemo BAM na sio yeye peke yake.
 
Sijaelewa Mkuu...Barabara ya Njia Sita Si kutoka kimara mpaka Chalinze? Au Wameamua kuugawanya huo Mradi kwa Phase?
 
Cha muhimu barabara ijengwe hii michakato ya tenda sometimes ni ubabaishaji tu
Sio kweli,
 
Tender ilitangazwa mwezi wa 12 kama sikosei Estim wanapiga kazi istoshe JPM anamkubali sana yule mdosi wa Estim walitoka mbali tangu enzi za ujenzi
Kama ni ESTIM kazi zo huwa ni viwango pamoja na gharama kuwa juu kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…