Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

Inakusaidia nini kuwa na njia sita kuanzia kimara-kibaha wakati huohuo kuingia mjini kuna barabara moja zinakuja 6 inatoka 1 msongamao hautapungua hapo ni matumizi mabaya ya fedha za mikopo
Wote wanaotoka kimara wanakwenda posta,ongeza nyama kwenye kufikiri
 
Tuyaache yaende hivyo tumetiwa umaskini na vifo mradi huo tuna vidonda havitibiki dhuruma huenda na dhuruma wacha mhindi apate tumepigwa mchanga wa macho hapo tayari pesa zimeliwa za wafadhiri wacha iwe hivyo hivyo mkuu
 
Tukumbukeni na sisi wa Kigamboni jamani; kwani na sisi siyo jiji? Ila siyo kwa bomoa bomoa zenu hatutaki.
 
Inakusaidia nini kuwa na njia sita kuanzia kimara-kibaha wakati huohuo kuingia mjini kuna barabara moja zinakuja 6 inatoka 1 msongamao hautapungua hapo ni matumizi mabaya ya fedha za mikopo
Ungekuwa unatokea maeneo ya kibamba, mbezi , kimara ungekuwa unaelewa umuhimu wa barabara hii. Je unafafamu kila asubuhi saa 1 polisi hulazimika kuzuia magari yaendayo mikoani eneo la kimara mwisho kupisha njia mbili kwa magari yatokayo mbezi?
 
Hawezi kuelewa
 
Naongeza nyama kidogo mkuu, TPA, PSPF 1&2 Zipo pale posta zinapendezesha jiji, PPF pale ubungo, jengo la Airtel pale Morocco, Jengo la Halotel pale, paloma, ...
Kwa Zanzibar kuna msikiti wa mazizini, kuna msikitini wa mchangani, Verde Hotel Zanzibar, Fumba uptown living
Over
 
Malamba mawili to mbezi mwisho pia wanajenga wao
 
Hao wahindi sidhani kama watauweza huo mradi,
Mkuu wamesha pewa na kinacho jengwa ni kuweka lami na sio kuhakikisha watu, magari, wanyama, parking, etc vipo vizuri.
 
Jaman naomben mrejesho wa ujenzi wa highway Mbezi - Kibaha ulipofikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…