kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Wote wanaotoka kimara wanakwenda posta,ongeza nyama kwenye kufikiriInakusaidia nini kuwa na njia sita kuanzia kimara-kibaha wakati huohuo kuingia mjini kuna barabara moja zinakuja 6 inatoka 1 msongamao hautapungua hapo ni matumizi mabaya ya fedha za mikopo