Mnyepe Boy
Senior Member
- Apr 17, 2013
- 101
- 16
Haya maandishi yanadhalilisha jukwaa la elimu.
cku nyingine kam hauna cha kuandika chukua tymSijui ni uvivu wa kuandika au ndio madoido! Hata kwenye mitihani yawezekana ndivyo wanavyoandika halafu wanataka kuandamana kwa kulalama wanapata sifuri.
Kuuliza si UJINGA. Kwanza msaidie halafu ndiyo mwelekeza.ingia web ya wizara ya elimu angalia usitusumbue wakati source inafahamika.
cku nyingine kam hauna cha kuandika chukua tym
Kama sms ningeelewa maana wanatozwa kwa kuhesabu idadi ya maneno (like 160 characters is the unit). Ila sasa Jamiiforums anapima nini??? tena anaandika jukwaa la elimu!Sijui ni uvivu wa kuandika au ndio madoido! Hata kwenye mitihani yawezekana ndivyo wanavyoandika halafu wanataka kuandamana kwa kulalama wanapata sifuri.
iv ni kwel wizara ya elimu wametoa majina ya shule zitakazoenda jkt kw awam ya pil mwez w 6
iv ni kwel wizara ya elimu wametoa majina ya shule zitakazoenda jkt kw awam ya pil mwez w 6
acha matuc km una cha kuandika chukua tym ? ?
cku nyingine kam hauna cha kuandika chukua tym
Kuuliza si UJINGA. Kwanza msaidie halafu ndiyo mwelekeza.