Et kuna QT ya advance yan form 5 na6 kwa mwaka mmoja

Et kuna QT ya advance yan form 5 na6 kwa mwaka mmoja

QT ni qualifying test yani ni equivalent na mtihan wa form two, ukifaulu huo una qualify kufanya mtihani wa form 4, advance level hakuna qt ila unaweza soma ndani ya mwaka 1
 
Wakuu kama mtu ulimaliza kidato cha nne miaka nane nyuma unaweza kurudia mtihan wa kidato cha nne kwa QT.
 
Kusoma mwaka mmoja unaeza ila mtiani utakaofanya ni wa PC hakuna mtiani wa QT kama ule wa form two. yan QT inayosemea iko form two bas
 
Je' unaweza fanya QT na form 4 kwa mwaka huohuo mmoja uliofanyia QT?
 
Sema unasoma form five na six kwa mwaka mmoja na unafanya mtihani wa form six km private candidate.nimesoma hivyo morogoro kwa father pekupeku.
 
Nilifanya mtihani wa qualifying test ya form 2 mwaka 2008, nilifaulu lakini kutokana na majukumu ya kifamilia sikuendelea yaani sikufanya mtihani wa form 4, je naweza kuendelea nilipoishia, au Necta hainitambui tena? Ahsanteni.
 
Kuna QT ya advance yan form 5 na 6 kwa mwaka 1
QT ni qualifying test kwa Wale wanaotafuta sifa ya kuendelea kidato cha nne moja kwa moja ili awe name sifa ya kufanya NECTA ya form four lakini kama PRIVATE CANDIDATE 'PC'

QT ipo hapo kwasababu ili uende kidato cha tatu kuna necta na wewe unataka usome kwa muda mfupi elimu ya pre secondary education, hivo unasoma kwa miaka miwili as QT.

FOR advance utasoma 5 & 6 kwa mwaka mmoja lakini sio QT hautafuti sifa zingine za kufanya mtihani wa NECTA wa six ila kwa sababu ya muda huu utafanya mtihani wa NECTA as PRIVATE CANDIDATES 'PC'

Sijui nimeeleza vizuri. Wajuvi kujeni.
 
Nilifanya mtihani wa qualifying test ya form 2 mwaka 2008, nilifaulu lakini kutokana na majukumu ya kifamilia sikuendelea yaani sikufanya mtihani wa form 4, je naweza kuendelea nilipoishia, au Necta hainitambui tena? Ahsanteni.
Mbona mmenipotezea? Au hakuna anayejuwa?
 
Back
Top Bottom