Et kuna QT ya advance yan form 5 na6 kwa mwaka mmoja

Et kuna QT ya advance yan form 5 na6 kwa mwaka mmoja

kuna dogo naye alikuwa anataka hii kitu.
alivyoniuliza mimi, nikamwambia hakuna

ila naona huku wadau wanachangia vizuri, na kama yupo anayejua sehemu ya kusoma hii kitu kwa MOSHI, ARUSHA NA DAR anijuze tafadhali nimletee mrejesho dogo akapige buku
 
Sema unasoma form five na six kwa mwaka mmoja na unafanya mtihani wa form six km private candidate.nimesoma hivyo morogoro kwa father pekupeku.
Sorry ndugu yangu na mimi pia nina shida hiyo hiyo ya kutaka kusoma ADVANCE kwa mwaka 1 ila kwa COMB ya PCB, hivyo basi please naomba unisaidie jinsi ya kumpata huyo teacher PEKUPEKU ili soon nimtafute nianze pindi.
 
Kama unao muda na hujawahi soma Advance kabisa basi kwa ushauri usijaribu soma PBC kwa mwaka mmoja maana sidhani hata three waeza pata kwani ina mambo mengi na msomo yote yana PRAC . Nadhan ya mwaka mmoja wengi wanaofanya ni comb za arts na Biashara japo weng hawaezi pata chini ya one ya nane .
 
ipo ukimaliza unaenda kusoma OUT
Hapana advance hakuna QT ila tunasoma form 5 na 6 kwa mwaka mmoja tu kama kichwa chako kipo vizuri na unafanya mtihani kama private candidate (PC) yaani mtahiniwa wa kujitegemea.

matokeo yanakuwa kama mtahiniwa yoyote yule na kama matokeo yako ni mazuri unachagua chuo chochote kile kulingana na grade uliyopata.

Nilisoma mm advance 1year miaka 8 iliyopita na matokeo yalipotoka nikachagua chuo kikuu cha mzumbe morogoro na nikamaliza hapo miaka 4 iliyopita..
 
Back
Top Bottom