Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
Sorry ndugu yangu na mimi pia nina shida hiyo hiyo ya kutaka kusoma ADVANCE kwa mwaka 1 ila kwa COMB ya PCB, hivyo basi please naomba unisaidie jinsi ya kumpata huyo teacher PEKUPEKU ili soon nimtafute nianze pindi.Sema unasoma form five na six kwa mwaka mmoja na unafanya mtihani wa form six km private candidate.nimesoma hivyo morogoro kwa father pekupeku.
Sorry ndugu yangu na mimi pia nina shida hiyo hiyo ya kutaka kusoma ADVANCE kwa mwaka 1 ila kwa COMB ya PCB, hivyo basi please naomba unisaidie jinsi ya kumpata huyo teacher PEKUPEKU ili soon nimtafute nianze pindi.
Hapana advance hakuna QT ila tunasoma form 5 na 6 kwa mwaka mmoja tu kama kichwa chako kipo vizuri na unafanya mtihani kama private candidate (PC) yaani mtahiniwa wa kujitegemea.ipo ukimaliza unaenda kusoma OUT