Et ni kweli kwa wanaosoma B.A WITH ED(BAED)?

Et ni kweli kwa wanaosoma B.A WITH ED(BAED)?

halafu nyie mnaodis vyuo vingine na kujigamba na vyuo ambavyo hata wazazi wenu hawana hisa mnakosea sana.we pimbi utasemaje chuo cha kata? kuna jamaa yangu mmoja yupo hapo DUCE,katokea bush hata makaburini kuzuri,kufika DAR eti akaanza kudis vyuo vingine.mi nipo TEKU mbeya,ada ni milioni 1.6 michango mingine kwa mwaka unatoa 2.3m,na hapa kuingia U.E si mchezo,course work kuipata mbinde,lakini vichwa vinapasua tu,huku kufa ni kugusa tu,UKIMWI,UCHAWI,UJAMBAZI&MAJANGA MENGINE ni kama kawa,unaweza kuamka na kukuta tangazo NOTICE BOARD eti VICE CHANCELOR REGREATS TO ANNOUNCE THE DEATH OF:halafu pale chini kuna jina lako.wanaokufa wengi ni mwaka wa tatu na wa pili.yaani kuishi mbinde,kufaulu bila msuli mbinde,kama we ni mlevi au changu unalo.labda uhonge ngono au pesa.lakini yote haya bado vijana tunapasua book na life goes on.tunalipa ada hata boom likichelewa.sasa mishe za kusema chuo hiki cha kata halafu kingine cha tarafa sijui cha wilaya ni upimbi na utahira.jenga chuo chako basi nasi tukione kimburu wee!
 
hakuna kitu kama hicho unachagua masomo unayoweza wewe mwenyewe na sio kuchaguliwa kwani degree unachukua wewe au wao??? usiogope kuichagua hiyo kamanda.
 
Back
Top Bottom