Et unaweza kuifanya cmu kuwa modem?

Et unaweza kuifanya cmu kuwa modem?

MUREFU

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,331
Reaction score
352
Wanandg ninaomba msaada nimeckia unaweza kuifanya simu aina ya nokia yoyote ile ambayo inaruhusu internet. Kui2mia kama modems je unafanyeje? Msaada plz!
 
hakikisha una USB cable ya cm yako...kisha google Nokia Pc Suite download...pakua,install,connect sm yako..fuata simple setup itakayotokea then u r good to go!
 
siyo lazima kutumia USB cable, Bluetooth works just fine too though it consumes more power
 
Angalizo inakula sana pesa, haitakuwa calculated kama unavyotumia simu katika ktk kubrowse.nilijaribu ipo fasta yaani ukiweka bk5 ni dakika kadhaa imekata na hamna bundle unayoweza kutumia.
I think thats why watu hawapendi sana kuitumia
 
mkuu unaweza kutumia Bluetooth au cable ila kwa cable lazima uwe na nokia pc suit yakuitambulisha cm na pc yako ila sikushauri sana kutumia cm as modem sio safe sana kwa maisha ya cm yako nunua tu modem now days zipo cheap sana
 
okay mai pipo nilitaka kujua 2uu na ninashukuru nimeelewa na thanks mana nilikuwa ninauliza kumbe inakula sana vocha okay poa nimeelewa
 
inategemea na version ya simu na OS. Windows lazima uwe na Ovi suite (PC suite is outdated) na Linux hauhitaji chochote, just plug your phone in usb na select PC suite mode, add it on the network manager and......voila!
 
okay mai pipo nilitaka kujua 2uu na ninashukuru nimeelewa na thanks mana nilikuwa ninauliza kumbe inakula sana vocha okay poa nimeelewa

Haili sana wala zaidi charges ni zile zile per/Mb. Ningekushauri kuweka Voda unlimited package, nadhani ilikuwa 60,000 kwa mwezi.
 
Angalizo inakula sana pesa, haitakuwa calculated kama unavyotumia simu katika ktk kubrowse.nilijaribu ipo fasta yaani ukiweka bk5 ni dakika kadhaa imekata na hamna bundle unayoweza kutumia.
I think thats why watu hawapendi sana kuitumia
Sijakuelewa mkuu! Hamna bundle kivipi?, bundle zote za voda na airtel unaweza kuzitumia kwenye simu au kwenye modem, subscribtion za bundle zinafanyika kwenye simcard so simcard hiyo ukiiweka kwenye modem ama kwenye simu wewe unaendelea kukamua tu, simu yangu nokia n95 8gb ina speed zaidi kuliko modem za airtel so mara nyingi huifanya as modem kwa bundle ile ile ninayoitumia kwenye modem.
 
had cheka net ya jero unakamua 2!ni ww mwenyewe!
 
Angalizo inakula sana pesa, haitakuwa calculated kama unavyotumia simu katika ktk kubrowse.nilijaribu ipo fasta yaani ukiweka bk5 ni dakika kadhaa imekata na hamna bundle unayoweza kutumia.
I think thats why watu hawapendi sana kuitumia

mbona mimi nilikuwa natumia nokia tena kwa bundle za zain mb 400 for tshs 2500 kama kawaida na sasa natumia sony ericsson kwa mfumo huo huo na inapiga kazi kama kawaida.
 
Back
Top Bottom