Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema. Huu ugonjwa wa kuona wazawa sio tuachane nao. Kocha hana kichogo atazitoa wapi akili.Huyu Nilijua atafeli ana mbinu za kizaman more defensive Sana wangemuacha minziro anaijua Team
Ndio mkuu wazawa kwa sasa wako vizuri hata ukiangalia wachezaji wetu wako vizuri kuliko hao wa njee sema wanafichwa na uzawa tuUmenena vyema. Huu ugonjwa wa kuona wazawa sio tuachane nao. Kocha hana kichogo atazitoa wapi akili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umenena vyema. Huu ugonjwa wa kuona wazawa sio tuachane nao. Kocha hana kichogo atazitoa wapi akili.
Kama kuna mahali nimesoma jana kuwa kashatimuliwa
Minziro hakutolewa. Alishushwa tu cheo na kuwa kocha msaidizi. Lakini kama hilo tangazo linavyo jieleza, amerudishiwa cheo chake kwa muda.Kwanini wamemtoa minziro wakati alifanya vizuri akawapandisha ligi kuu.
Sababu ya mashindano ya CAF nadhani kuna sifa za kocha anatakiwa awe nazo sasa Minziro alikuwa hana ikabidi wamchukue huyo.Kwanini wamemtoa minziro wakati alifanya vizuri akawapandisha ligi kuu.