Ethiene Ndaiyagile hali mbaya Geita Gold Mine, wananchi wataka atimuliwe

Ethiene Ndaiyagile hali mbaya Geita Gold Mine, wananchi wataka atimuliwe

Huyu Nilijua atafeli, ana mbinu za kizaman more defensive Sana wangemuacha Minziro anaijua Team
 
Umenena vyema. Huu ugonjwa wa kuona wazawa sio tuachane nao. Kocha hana kichogo atazitoa wapi akili.
Ndio mkuu wazawa kwa sasa wako vizuri hata ukiangalia wachezaji wetu wako vizuri kuliko hao wa njee sema wanafichwa na uzawa tu
 
Kama kuna mahali nimesoma jana kuwa kashatimuliwa
%23Repost_%40geitagoldfc_with_%40make_repost...%C2%A0lis%C3%A4%C3%A4.jpg


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kwanini wamemtoa minziro wakati alifanya vizuri akawapandisha ligi kuu.
Minziro hakutolewa. Alishushwa tu cheo na kuwa kocha msaidizi. Lakini kama hilo tangazo linavyo jieleza, amerudishiwa cheo chake kwa muda.

Bado yule Omog wa Mtibwa Sugar! Naye anambwela mbwela tu.
 
Kwanini wamemtoa minziro wakati alifanya vizuri akawapandisha ligi kuu.
Sababu ya mashindano ya CAF nadhani kuna sifa za kocha anatakiwa awe nazo sasa Minziro alikuwa hana ikabidi wamchukue huyo.

Minziro nadhani walimfanya kocha msaidiizi
 
Back
Top Bottom