Ethiopia-Djibouti railway begins commercial operations

Hahaa ss tuna mpaka mkubwa na uhabeshi so hilo linatendeka hata leo hii, ndoto hizo ni za mchoma kuku maguuu![emoji3] [emoji122] [emoji191] [emoji125]
Wakati huo reli ya Djibouti Ethiopia ikifanya kazi gani.? Au unafikiri Djibouti haina bandari?
 
ati Kenya ina 2700 MW peleka upumbavu
 
acha hadithi za vijiweni
 
Wakati huo reli ya Djibouti Ethiopia ikifanya kazi gani.? Au unafikiri Djibouti haina bandari?
Ethiopia nchi kubwa sana. Southern Ethiopia is near Kenya and who said we want to be the main port to Ethiopia?
 
Hivi Kenya bado wana ndoto za kuihudumia Ethiopia from their ports?
Hata Uganda pia inaotea opportunities za Lapsset kufanya biashara na Ethiopia, that means nchi yoyote South of Uganda ikitaka kufanya biashara na Ethiopia itabidi ipitie Kenya..

ati Kenya ina 2700 MW peleka upumbavu
Pumbavu ni wewe na mbegu zako.
Kenya ilikua na 2,400MW by Dec 2016, turkana wind firm (300MW) ilimaliza kujengwa in 2017 lakini kukakua na delay in completing high voltage transmission line, hio line inakua completed mwezi huu but the wind firm already serves the neibourhood its just waiting to be connected to the national grid.... So do the math of hoe much installed capacity Kenya has.... Tanzania bado iko 1,700MW alafu mnaturingia! Po!
 
jamaaa pimbi sana,haamini kuwa kenya kuna umeme kiasi hicho😀
 
Stories za tuta tutajenga. Wenzako wanazungumza kilicho mezani.
msee hata picha za kinyerezi hazijakutosha tu unataka ujaze server za jf kwa hz pic?
 
Unazitaka za sa hz tukutumie?

Sitaki mapicha, gurumisha engine maana nyie kwa mapicha ya PR hamjambo....hehehehe
Hivi wewe unawajua Watanzania au unawaskia tu, utakua huwajui maana na wewe Mtanzania......
 
Hata Uganda pia inaotea opportunities za Lapsset kufanya biashara na Ethiopia, that means nchi yoyote South of Uganda ikitaka kufanya biashara na Ethiopia itabidi ipitie Kenya..

View attachment 669077
Hahaha February? By that time pipeline was meant to pass through Kenya isn't it?
 
LAPSSET sijui imeishia wapi. Miradi ya Kenya ni kichekesho.....Konza City bado inachakatwa
Kwa lappsset barabara, border post with Ethiopia, isiolo airport na lamu port ziko mbioni .....pipeline na resort cities ziko kwa planning stage. ..sisi ni kusema na kutenda
 
Kwa lappsset barabara, border post with Ethiopia, isiolo airport na lamu port ziko mbioni .....pipeline na resort cities ziko kwa planning stage. ..sisi ni kusema na kutenda
Kusema na KUIBA. Naikuni na Gunze wameifilisi KQ huenda CEO toka Poland akanyoosha shirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…