Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Wakati huo reli ya Djibouti Ethiopia ikifanya kazi gani.? Au unafikiri Djibouti haina bandari?Hahaa ss tuna mpaka mkubwa na uhabeshi so hilo linatendeka hata leo hii, ndoto hizo ni za mchoma kuku maguuu![emoji3] [emoji122] [emoji191] [emoji125]