Ethiopia kupitishia mizigo yake katika bandari ya Tanga

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Haya MAMBO hayahitaji u Vasco Da Gama. Siyo lazima kuzunguku zunguka huku na huku.

20180905_204809.jpg
 
Ahaaa haaa haaa

Hamna cha Lapset hapa wala nini!!
 
Hata mimi nimeshangaa kuona deligates wanaongea kwenye kikao eti wanaonelea Tanga kuwa ni nafuu kwao.
 
Kuna swala la Tanga kuwa na uwezo wa kupokea mzigo muda wowote wa mwaka, kwa sababu ya uwezo wake wa kujikinga na dhoruba za baharini. Zanzibar ikiwa ndio kinga yake.
 
Hahahaaa hizo dhoruba ziliadhiri lini Djibouti na Mombasa mpaka Addis ikakosa mzigo?

Sometimes kuwa mtanzania ni kama nuksi na laana fulani.

Nchi ambayo mkuu wa nchi analalamika kwenye kipaza sauti rasilimali muhimu kama gesi kuibiwa ingali na yeye alikuwa mmoja wa watetezi na mtunga sheria wa wizi huo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ni nnnyokko sana[emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaa hizo dhoruba ziliadhiri lini Djibouti na Mombasa mpaka Addis ikakosa mzigo?

Sometimes kuwa mtanzania ni kama nuksi na laana fulani.

Nchi ambayo mkuu wa nchi analalamika kwenye kipaza sauti rasilimali muhimu kama gesi kuibiwa ingali na yeye alikuwa mmoja wa watetezi na mtunga sheria wa wizi huo
Nadhani unahitaji somo kidogo kwenye hili swala.

Ikifika miezi ya June July na August badanri ya Mombasa inakumbwa na tatizo la kuingiza na kitoa meli badarini kutokana na dhoruba za bahari kuu "high seas". Hii inatokana msimu wa vimbunga (Monsoon) kutoka bara la mashariki ya mbali (Far East Asia). Hali hii haiwadhiru Djibouti au Eritrea kwasabau wana kingwa na Gulf of Eden, Tanga nao wanakingwa na visiwa vya Zanzibar. Hii ni moja ya sababu ya Kenya kukosa bomba la mafuta la Uganda. Kampuni za mafuta haziwezi kukubali kutumia bandari inayowaruhusu kuitumia kwa miezi tisa ya mwaka.

Pitia link hii soma point number 7
How Kenya lost Uganda pipeline deal

State explains cause of recent delays in cargo clearance at Mombasa port
 
Hahahaaa hizo dhoruba ziliadhiri lini Djibouti na Mombasa mpaka Addis ikakosa mzigo?

Sometimes kuwa mtanzania ni kama nuksi na laana fulani.

Nchi ambayo mkuu wa nchi analalamika kwenye kipaza sauti rasilimali muhimu kama gesi kuibiwa ingali na yeye alikuwa mmoja wa watetezi na mtunga sheria wa wizi huo
Unajua tofauti ya Sheria na mkataba?
 
Ethiopia wanacholenga ni kuondoa monopoly ya bandari ya Djibouti, wakisaini mikataba na Somalia, Kenya na Tanzania itaifanya Ethiopia iwe na options nyingi ambazo ni economical lakini pia itazifanya nchi zinazotoa huduma ya kupitishia mizigo ziboreshe bandari zao na kuzifanya kuwa competitive. Hii ndio Ethiopia wanalenga. Hata kama wamesaini mkataba, labada Djobiti waboronge, Ethiopia kamwe hawatatumia bandari ya Tanga
 
whoever takes this seriously must be out of his mind...nikama kutoa mizigo zambia ila unaishi Kenya😵😵😵ethiopia wamepiga saini za port cooperation na somalia, kenya, sudan, eritrea na pia djibouti...hakuna cha maana hapo..they are just reaching out to all east african countries
Coalition of the Willing? Ethiopia reaches out to Djibouti,
Ethiopia, Somalia in joint port deals

mbona serikali yenu iligawa tenda ya ku supply HEWA.....kwakweli kila kitu kinawezekana duniani😀😀😀
 
Back
Top Bottom