Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
take it on myself😀😀😀..wtf?Ahaaa haaa haaa
Relax brother. Don't take it on yourself.
Haha, Vasco Da Gama sio, parfect. Nadhani anastahili kuwa mvumbuzi wa mikopo ya kichina [emoji23]Haya MAMBO hayahitaji u Vasco Da Gama. Siyo lazima kuzunguku zunguka huku na huku.
View attachment 858339
Kuna swala la Tanga kuwa na uwezo wa kupokea mzigo muda wowote wa mwaka, kwa sababu ya uwezo wake wa kujikinga na dhoruba za baharini. Zanzibar ikiwa ndio kinga yake.Hata mimi nimeshangaa kuona deligates wanaongea kwenye kikao eti wanaonelea Tanga kuwa ni nafuu kwao.
Mdanganyika endelea kujipa moyo..Hata mimi nimeshangaa kuona deligates wanaongea kwenye kikao eti wanaonelea Tanga kuwa ni nafuu kwao.
Hahahaaa hizo dhoruba ziliadhiri lini Djibouti na Mombasa mpaka Addis ikakosa mzigo?Kuna swala la Tanga kuwa na uwezo wa kupokea mzigo muda wowote wa mwaka, kwa sababu ya uwezo wake wa kujikinga na dhoruba za baharini. Zanzibar ikiwa ndio kinga yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ni nnnyokko sana[emoji23] [emoji23]Hahahaaa hizo dhoruba ziliadhiri lini Djibouti na Mombasa mpaka Addis ikakosa mzigo?
Sometimes kuwa mtanzania ni kama nuksi na laana fulani.
Nchi ambayo mkuu wa nchi analalamika kwenye kipaza sauti rasilimali muhimu kama gesi kuibiwa ingali na yeye alikuwa mmoja wa watetezi na mtunga sheria wa wizi huo
Nadhani unahitaji somo kidogo kwenye hili swala.Hahahaaa hizo dhoruba ziliadhiri lini Djibouti na Mombasa mpaka Addis ikakosa mzigo?
Sometimes kuwa mtanzania ni kama nuksi na laana fulani.
Nchi ambayo mkuu wa nchi analalamika kwenye kipaza sauti rasilimali muhimu kama gesi kuibiwa ingali na yeye alikuwa mmoja wa watetezi na mtunga sheria wa wizi huo
Unajua tofauti ya Sheria na mkataba?Hahahaaa hizo dhoruba ziliadhiri lini Djibouti na Mombasa mpaka Addis ikakosa mzigo?
Sometimes kuwa mtanzania ni kama nuksi na laana fulani.
Nchi ambayo mkuu wa nchi analalamika kwenye kipaza sauti rasilimali muhimu kama gesi kuibiwa ingali na yeye alikuwa mmoja wa watetezi na mtunga sheria wa wizi huo
whoever takes this seriously must be out of his mind...nikama kutoa mizigo zambia ila unaishi Kenya😵😵😵ethiopia wamepiga saini za port cooperation na somalia, kenya, sudan, eritrea na pia djibouti...hakuna cha maana hapo..they are just reaching out to all east african countries
Coalition of the Willing? Ethiopia reaches out to Djibouti,
Ethiopia, Somalia in joint port deals
Uganda na South Sudan...what a great Idea.kisha watatumia barabara gani?