Ethiopia kuuchukua ubabe wa kiuchumi unaomilikwa na Kenya ukanda huu

Ethiopia kuuchukua ubabe wa kiuchumi unaomilikwa na Kenya ukanda huu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huu ushindani baina ya Kenya na Ethiopia kwenye masuala ya kiuchumi unafaa kuigwa kote, jamaa wanajiamini balaa na wanakuja kwa kasi noma, halafu wao hunifurahisha kwamba huwa hawawazi Kenya, wanafanya yao bila kuifikiria Kenya. Imekadiriwa wanaweza kutupiku mwaka huu ikitokea wadumishe hiyo kasi yao.

Haya twende zetu, Wakenya nasi tuendelee kukomaa hadi kieleweke, kwa sasa sisi ndio wababe ukanda huu wote, tukisema wanakaa na kuskliza. Tukidumisha ukuaji wetu wa 6.2% na kuongeza zaidi, basi tutaendelea kuwa jitu la kuogopwa. Anyway, hongera Ethiopia, huo ndio ushindani tunaoutaka, sio watu wa kulialia na kulaumu Kenya kwa kila mbaya kwao.....madongo full

===============================================

Ethiopia’s economy is expected to overtake Kenya’s this year, buoyed by massive government spending on infrastructure that has kept the Horn of Africa nation in the list of the world’s fastest economies in the past 10 years.

The International Monetary Fund’s (IMF) latest statistical estimates indicate that Ethiopia’s gross domestic product (GDP) is forecast to grow from $61.62 billion in 2015 to $69.21 billion this year, narrowly beating Kenya’s output which is expected to rise from $63.39 billion to $69.17 billion over the same period.

“Ethiopia has experienced double-digit economic growth, averaging 10.8 per cent since 2005, which has mainly been underpinned by public-sector-led development,” the African Development Bank, the OECD Development Centre and the United Nations Development Programme say in the latest African Economic Outlook report.

Kenya’s GDP of $14.1 billion in 2000 was 71.6 per cent larger than Ethiopia’s $8.23 billion in the same year but the Horn of Africa nation has closed the economic gap in the last five years of robust growth.

The IMF’s GDP estimates are based on current market prices using exchange rates prevailing between July 22 and August 19.
Having established its economic lead ahead of Kenya, Ethiopia is forecast to maintain its position as Eastern Africa’s largest economy over the medium term — a position that is also expectved to improve its standing as an investment destination.

READ: Kenya's economy expands by 6.2pc in second quarter

Ethiopia’s rise as a regional economic powerhouse has mostly been fuelled by mega public sector investment similar to the Chinese model that has enabled the Asian nation to become the world’s second-largest economy in two decades.

Ethiopia’s investment, as a percentage of GDP, rose sharply from 20.2 per cent in 2000 to 39.2 per cent last year and is expected to hit a new high of 39.2 per cent of the domestic output this year.

While Kenya has also raised its public investments, including on big infrastructure projects, it remains significantly below that of Ethiopia.
Kenya’s investment as a percentage of GDP rose from 18 per cent in 2000 to hit a high of 22.4 per cent in 2014 before receding to 21.2 per cent last year and is projected to rise to 22.5 per cent this year.

Public investments

Ethiopia’s economy is expected to grow further riding on the state-led investment in infrastructure, according to the African Economic Outlook report.
“Public investments are expected to continue driving growth in the short and medium term with huge investments in infrastructure and the development of industrial parks, prioritised to ease bottlenecks to structural transformation, which will still have to take shape with industry playing a significant role in the economy,” the report says.

Ethiopia’s ongoing projects include the $5 billion Grand Renaissance Dam with a generation capacity of 6,000 megawatts, which is expected to earn the country $1 billion annually from electricity sales, including exports.

The Horn of Africa nation recently commissioned a railway linking its capital Addis Ababa to the Red Sea port city of Djibouti, fast-tracking the movement of goods and people across its vast territory.

The railway line is important for land-locked Ethiopia, which uses the port of Djibouti to trade with Europe, Asia and parts of Africa.
Besides, Ethiopia last year also launched a light rail project in Addis Ababa, the first metro service in sub-Saharan Africa.

The Horn of Africa nation’s GDP is set to overtake Kenya’s despite a debilitating drought that has left millions in need of aid this year – and stirred mixed feelings about its development model.

Ethiopia to overtake Kenya as Eastern Africa’s top economy
 
Nmependa ulivyosema hawashindani na nyie .....nyie mnashindana kumbe wenzio wanafanya yao tu hawawazi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
hey pal,you shoul only talk when the words are better than the silence otherwise just keep quite and do yourself the favour of not being branded a fool...where in the report did you see him saying we are competing?try to comprehend before opening your mouth to vommit a forest of words but a desert of points
 
Nmependa ulivyosema hawashindani na nyie .....nyie mnashindana kumbe wenzio wanafanya yao tu hawawazi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Ndio hata nyie muige kitu hapo, muache haya mambo ya kuwaza Kenya kwa kila hatua yenu, "tutaishinda Kenya, Kenya lazima tuwashinde, hawa Wakenya hawana jipya tutawashinda, Kenya hawapo mbali tutawafikia, hamna kitu Kenya lazima tuwapiku tu, Kenya hiki Kenya kile"..... Hauwezi jenga uchumi wako ukiwaza tu jinsi ya kumshinda jirani na kusahau vipao mbele ndani ya nchi yako.

Fahamu sisi kama taifa tuna malengo yetu, tunafuata dira ya taifa ambayo kila Mkenya ameikazia macho, awe kwenye upinzani au serikali.
 
hey pal,you shoul only talk when the words are better than the silence otherwise just keep quite and do yourself the favour of not being branded a fool...where in the report did you see him saying we are competing?try to comprehend before opening your mouth to vommit a forest of words but a desert of points
Your the one hu is fool. ...if find u didn't understand what it mean u better shut your bakuli damn you

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mmoja baada ya mwingine watawakalisha tu.. Zamu ya Ethiopia leo sisi tutapita kesho..

Tumesubiri sana mtupite, kuanzia enzi za mababu zenu mliimba kwamba mtatupita, hadi vizazi vya leo wimbo ni ule ule na naona kama mtawapokeza watoto wenu huo wimbo. Kipindi cha Kikwete nilihisi kama mtatunusia maana yule jamaa kimataifa alikua ameiweka Tanzania kwenye ramani na mkaanza kufahamika duniani. Uchumi wenu yeye kautoa mbali na kuufikisha mahali ulipo sasa. Kwenye sekta ya utalii alikua amefanya kweli....

Lakini leo hii naona mnakurupuka sana bila malengo au mipango endelevu, tuliahidiwa mtatupiku ndani ya siku mia za utawala huu mpya wa awamu ya tano.
 
Daily Nation article added a few more paragraphs

The Horn of Africa nation’s GDP is set to overtake Kenya’s despite a debilitating drought that has left millions in need of aid this year – and stirred mixed feelings about its development model.
Besides massive government spending, which stimulates economic growth in the Keynesian fashion, Ethiopia has other factors working in its favour in terms of its ability to attract foreign investment.
With a population of nearly 100 million people, Ethiopia offers a large internal market for consumer goods manufacturers and the Addis government has in recent years firmed that up with investor-friendly policies that have attracted manufacturers and established a strong industrial base for the economy.
Though Kenya’s ego may be bruised by its impending toppling from the top perch, it can take pride in the fact that it is the richer economy compared with Ethiopia.
Ethiopia’s GDP per capita stood at $686.5 (Sh69,345) last year and is projected to rise to $758.9 (Sh76,648) this year, compared with Kenya’s, which stood at $1,434.3 (Sh144,864) in 2015 and is expected to hit $1,521.8 (Sh153,701) this year.
Besides a richer consumer base, Kenya has a relatively more developed financial sector and human resources and is improving its standing as a regional transport and communications hub with access to the sea.
AUTHORITARIAN RULE
Kenya is also viewed as relatively more democratic than Ethiopia, which remains under authoritarian rule often marked by crackdowns on the press and its own citizens, such as the Oromo.
More importantly, Kenya runs a comparatively more open economy, unlike Ethiopia, which has closed most sectors of its economy to foreign investors.
The IMF’s GDP forecasts are based on several assumptions, such as that established policies of national authorities will be maintained and that the average price of oil will be $42.96 a barrel in 2016 and $50.64 a barrel in 2017 and will remain unchanged in real terms over the medium term.
“The estimates and projections are based on statistical information available through September 16, 2016,” the IMF said.
While Kenya faces the prospects of being overtaken by Ethiopia in absolute economic size, it is expected to maintain a huge lead ahead of other neighbouring countries in the region, including Uganda and Tanzania.

Ethiopia to overtake Kenya as Eastern Africa’s top economy
 
Where is geza eti kenya is a 63bn$ economy??? If in one year we generate 6bn$ + by end of 2017 we will be peeping at 80bn$
 
hey pal,you shoul only talk when the words are better than the silence otherwise just keep quite and do yourself the favour of not being branded a fool...where in the report did you see him saying we are competing?try to comprehend before opening your mouth to vommit a forest of words but a desert of points

Keep quite? you mean quiet?
 
Keep quite? you mean quiet?
you did understand what I was saying though,otherwise you wouldn't have corrected the silly typing error...now get back to the main issue being discussed
 
Bora Uchumi wao ukue na pia uguse wananchi tumechoka kuwalisha wafungwa wao huku kisa kukimbia hali mbaya ya Uchumi ya nchi yao na kutaka kwenda SA
 
Mbona wakenya wana njaa zaidi kuliko watz,aliewaroga wakenya atakuwa kafa ndio maana huwa hawajielewagi
 
Ndio hata nyie muige kitu hapo, muache haya mambo ya kuwaza Kenya kwa kila hatua yenu, "tutaishinda Kenya, Kenya lazima tuwashinde, hawa Wakenya hawana jipya tutawashinda, Kenya hawapo mbali tutawafikia, hamna kitu Kenya lazima tuwapiku tu, Kenya hiki Kenya kile"..... Hauwezi jenga uchumi wako ukiwaza tu jinsi ya kumshinda jirani na kusahau vipao mbele ndani ya nchi yako.

Fahamu sisi kama taifa tuna malengo yetu, tunafuata dira ya taifa ambayo kila Mkenya ameikazia macho, awe kwenye upinzani au serikali.
Kwenye riadha ni lazima umpite aneongoza ndio upate gold medal,usitetemeke brother tunakuja
 
Ndio hata nyie muige kitu hapo, muache haya mambo ya kuwaza Kenya kwa kila hatua yenu, "tutaishinda Kenya, Kenya lazima tuwashinde, hawa Wakenya hawana jipya tutawashinda, Kenya hawapo mbali tutawafikia, hamna kitu Kenya lazima tuwapiku tu, Kenya hiki Kenya kile"..... Hauwezi jenga uchumi wako ukiwaza tu jinsi ya kumshinda jirani na kusahau vipao mbele ndani ya nchi yako.

Fahamu sisi kama taifa tuna malengo yetu, tunafuata dira ya taifa ambayo kila Mkenya ameikazia macho, awe kwenye upinzani au serikali.
Ati kenya lazima tuwashinde?? Hata mko karibu kweli??... Kuongea umebarikiwa sana but reality ni tz mnasonga kama kinyonga
 
Back
Top Bottom