Ethiopia kuuchukua ubabe wa kiuchumi unaomilikwa na Kenya ukanda huu

Ethiopia kuuchukua ubabe wa kiuchumi unaomilikwa na Kenya ukanda huu

Kwenye riadha ni lazima umpite aneongoza ndio upate gold medal,usitetemeke brother tunakuja

Hehehehe!!! Haya njooni, kwanza mtoke kwenye LCD ili mfahamike kwa middle-income halafu tuongee jinsi ya kushindana.
 
Hehehehe!!! Haya njooni, kwanza mtoke kwenye LCD ili mfahamike kwa middle-income halafu tuongee jinsi ya kushindana.
Wewe hiyo middle income yako unaji boast nayo unaweza kudrop wakati wowote,uliza wakikuyu wenzako huku mambo yanavyo kwenda kasi
 
According to our very ongoing projects kenya is like Zanzibar that's so tiny little to compare na hili lidude la miraba saba linalomove kwa kasi ya light Tanzania.

Mtajiju.
 
Back
Top Bottom