Ethiopia: Mwanariadha Haille Gabriselassie kaungana na Jeshi kuwapiga Waasi

Ethiopia: Mwanariadha Haille Gabriselassie kaungana na Jeshi kuwapiga Waasi

Aliyejiita Field Marshall Idd Amin dadaa mwenyewe aliikimbia vita,atakuja kua huyo mkimbia riadha ambae kazi yake Ni kukimbia kimbia tu.Atawakimbia huko front mziki ukiwa mnene [emoji1][emoji1][emoji1]

[emoji16][emoji16][emoji16]tujiandae kumpokea pale mpakani mwa Namanga
 
Kama wangekuwa wanataka kujitenga wasingesonga mbele kuelekea mjini mkuu wa Addis Ababa huenda wangeishia kwenye mipaka ya Jimbo lao tu.

Pia wasingeungana na makundi mengine 8 kutoka makabila mengine na maeneo mengine.
Kwani baada ya majeshi ya Tanzania kumuondoa Iddi Amin yalienda Uganda kufanya nini. Majeshi ya Allied power walipoyaondoa majeshi ya Nazi Germany Ulaya yalienda fanya nini Ujerumani.

Huwezi fukuza adui ukampa nafasi ajipange kwa ajili ya counterattack. Ukifanya hivyo hamtoacha kupigana milele. Wakimuacha atarudi kuwashambulia
 
Mkuu hawa wanapigana wao kwa wao sababu ya madaraka tu.... ingekuwa ni kujitenga sidhani kama wangeungana na makabila hasimu.

Isitoshe waliposaini makubaliano na makundi mengine 8 ya waasi,walitamka bayana nia yao ya kumtoa Abiy madarakani.
 
sasa unafikiri waasi wa Tigray wanahitaji nini? shida yao sio kutawala Ethiopia yote, wanataka tu kujitenga jimbo/mkoa wao uwe nchi kama elitrea ambayo lilikuwa jimbo/mkoa ndani ya ethiopia ilivyojitenga na ikawa nchi, lakni mikoa mingine bado ikabaki ethiopia hadi leo. unaijua ethiopia vizuri lakini?
cjatembea ndan ila Adis nimefika si chin ya mara 10 na Axum mara moja. Abiy alikosea kutaka kufanya nchi itawaliwe kutoka Adis bila kuzingatia historia ya nch hiyo. waTigray hawatak kujitenga ila wanataka utawala wa majimbo uendelee kama walivyouseti awali.
 
Abiy Ahmed ni mpiganaji wa Vita mzoefu. Hii picha ni enzi akiwa vitani na mdogo sana.
IMG_20211125_090606.jpg

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
wakati wa vita ya pili ya dunia kuna battle ilipigwa russia, mataifa ya ulaya yalisalimu amri sababu warusia walikuwa wakiuliwa mia wanakuja mia mbili. there was unlimited people to kill.

hii ndio kitu abiy anaenda kukutana nayo, he his going to meet people who are readied to die.
 
Back
Top Bottom