Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Aliyejiita Field Marshall Idd Amin dadaa mwenyewe aliikimbia vita,atakuja kua huyo mkimbia riadha ambae kazi yake Ni kukimbia kimbia tu.Atawakimbia huko front mziki ukiwa mnene [emoji1][emoji1][emoji1]
Kwani baada ya majeshi ya Tanzania kumuondoa Iddi Amin yalienda Uganda kufanya nini. Majeshi ya Allied power walipoyaondoa majeshi ya Nazi Germany Ulaya yalienda fanya nini Ujerumani.Kama wangekuwa wanataka kujitenga wasingesonga mbele kuelekea mjini mkuu wa Addis Ababa huenda wangeishia kwenye mipaka ya Jimbo lao tu.
Pia wasingeungana na makundi mengine 8 kutoka makabila mengine na maeneo mengine.
Mkuu hawa wanapigana wao kwa wao sababu ya madaraka tu.... ingekuwa ni kujitenga sidhani kama wangeungana na makabila hasimu.Kwani baada ya majeshi ya Tanzania kumuondoa Iddi Amin yalienda Uganda kufanya nini. Majeshi ya Allied power walipoyaondoa majeshi ya Nazi Germany Ulaya yalienda fanya nini Ujerumani.
Huwezi fukuza adui ukampa nafasi ajipange kwa ajili ya counterattack. Ukifanya hivyo hamtoacha kupigana milele. Wakimuacha atarudi kuwashambulia
😄😄😄 acha wapigane tu sisi tutawauzia Chakula tu mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16]tujiandae kumpokea pale mpakani mwa Namanga
😄😄 Hawa wote walikimbia nchi zao mziki ulivyokua mnene.
cjatembea ndan ila Adis nimefika si chin ya mara 10 na Axum mara moja. Abiy alikosea kutaka kufanya nchi itawaliwe kutoka Adis bila kuzingatia historia ya nch hiyo. waTigray hawatak kujitenga ila wanataka utawala wa majimbo uendelee kama walivyouseti awali.sasa unafikiri waasi wa Tigray wanahitaji nini? shida yao sio kutawala Ethiopia yote, wanataka tu kujitenga jimbo/mkoa wao uwe nchi kama elitrea ambayo lilikuwa jimbo/mkoa ndani ya ethiopia ilivyojitenga na ikawa nchi, lakni mikoa mingine bado ikabaki ethiopia hadi leo. unaijua ethiopia vizuri lakini?
[emoji1][emoji1][emoji1] acha wapigane tu sisi tutawauzia Chakula tu mkuu.
Sisi ni donor country mzee.Chakula gani tena?
Kwa ukame huu?
Hapo alikuwa ni dark horse, sasa hivi ni white horse. Wanatafuta masniper wa kumsnip. Kama Idriss Derby alivyoumaliza mwendo, ndivyo na Abby anafuta.Abiy Ahmed ni mpiganaji wa Vita mzoefu. Hii picha ni enzi akiwa vitani na mdogo sana.View attachment 2022796
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Huyu anapiga picha anatupia insta eti yuko battle frontKamanda. Abiy Ahmed
View attachment 2021722View attachment 2021723
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Naona kazungukwa na komandooKamanda Abiy on frontlineView attachment 2023311View attachment 2023312View attachment 2023313
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Abiy anakwenda kufanya disorganization, badala ya wanajeshi wake kupambana wataanza kazi ya kumlinda, watakapogundua anawapotezea focus they will just shoot him.Kamanda Abiy on frontlineView attachment 2023311View attachment 2023312View attachment 2023313
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app