Ethiopia na Kenya, nani kuibuka kidedea huko Somalia?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Msuguano kati ya Ethiopia na Kenya unazidi kupamba moto ambapo kila nchi inajaribu kuunga mkono upande tofauti wa mahasimu kati ya Serikali ya Somalia na ile ya Jubaland.

Wakati upande wa Serikali ya Somalia ukiungwa Mkono na Marekani, China, Uingereza, Ethiopia na Ufaransa, upande wa Jubaland unaungwa Mkono na Saudia, Qatar, Kenya, UAE.

Tayari Kenya imeanza kampeni ya kuwa mwanachama wa muda wa baraza la usalama la UN ili kuiwezesha kuwa karibu na mataifa makubwa kujaribu kuyashawishi kubadili msimamo wao katika siasa za eneo hili.

Hata hivyo bwana mdogo Dr. Abiy Mohammed, Waziri mkuu wa Ethiopia ameonyesha kiburi baada ya kufanikiwa kuishawishi Djibouti kukataa kukubaliana na uamuzi wa AU wa kuipitisha Kenya kuwa muwakilishi wa AU katika kugombea kiti hicho cha baraza la usalama la UN, hivyo, Kenya na Djibouti zitapigiwa kura na wanachama wa UN huko NY.

Nani ataibuka mshindi kati ya Uhuru Kenyatta na Abiy wa Ethiopia katika hili?.
 
Sasa hivi ndani ya U.N na ndani ya Somalia matokeo ni kama haya: Kenya 10 - 0 Ethiopia.
Hahahaha, ngoja tutaona. Sasa ndio nimeelewa kwanini Uhuru Kenyatta analazimisha kuwa karibu sana na Magufuli, inaonekana majirani wote wanamkimbia.

South Sudan, Uganda na Ethiopia wanaelewana sana, na wote hawa kwa upande mwengine wana migogoro na Kenya.
 
Uganda ni mke wetu. Wanatupenda sana. Tuliwaoa kitambo sana na kila usiku tunawapa dose kitandani. Uganda hawajawahi kutugeuka isipokuwa mambo ya pipeline. Migingo haina shida maana Wakenya na Waganda wanaisha kwa pamoja humo. Nyie mlipigana na U.G vita vikali lakini sisi tunawaonyesha tu mahaba.
 
Hahahaha, bila Tanzania Museven asingekuwa rais wa Uganda, msikilize mwenyewe hapa
Museven hawezi kuisaliti Tanzania kwa lolote lile. Ninyi kila jirani mnasuguana naye, hata sisi tunawavumilia sana, lakini ni ngumu sana kupakana na Kenya na kusiwepo na migogoro, badilikeni.
 
Uganda wale wana mahaba na kenya bro...hta upande ushuke huwezi wabadilisha akili zao...
 
80% ya import na export ya U.G inapitia Kenya kwa hivyo ni dhahiri kwamba Kenya ni muhimu kwa UG kushinda Tanzania.
 
Ukitazama televisheni za UG utaona jinsi wanataja Kenya baada ya kila sentensi. Kwao kuja Kenya ni kama kuenda America.
 
China itaungaje mkono Somalia wakati wao ndo wanataka kununua nusu ya Lamu port?? Marekani nae hataki kuachwa nyuma, pale kwa GES summit walisema wanataka package flani ya projects kadhaa zipewe kwa kampuniza marekani..


Abiy wa Ethiopia ndo IGAD chairman kwa sasa, US na UK wanamtaka Abiy atatue mzozo, Kwahivyo USA na UK hazija egemea upande wowote kwa sasa, the situation is still fluid...

Senior Somali government officials, however, said Abiy's had been working behind the scenes to broker a truce amid pressure from key international players like the United States and the United Kingdom for a truce.
Igad and its partners fear the maritime dispute could undermine cooperation in the fight against terrorism and sea piracy in the Horn of Africa.
An earlier bid this year by Dr Abiy failed after Mogadishu stuck to resolving the dispute in court.
Yet Ethiopia which has interests in Somali ports and shares defence cooperation with Kenya has insisted the maritime dispute should be resolved amicably, to avoid stalling other areas of co-operation.
On Tuesday media reports in Mogadishu had indicated that President Farmajo was willing to delay - not withdraw - the case at ICJ and allow "negotiations under special arrangements."
Nairobi also downplayed reports of a change of heart in Mogadishu saying there was nothing official.
"We will need to verify," Kenya Foreign Affairs PS Macharia Kamau said.
There has been mounting diplomatic pressure for Kenya and Somalia to accept an out-of-court settlement, a position that Nairobi prefers.
 
As Kenyans we are not shaken, the new Ethiopian PM is trying to be politically correct and nice, in supporting Mogadishu against Kenya, but our diplomatic cards are under the table..finally US,UK, China watarudi upande wetu na kuunga mkono "Jubaland initiative", Kenya needs a buffer zone so that we can be sure of our security and regional stability.. that is a price we are not taking off our eyes
 
halafu JPM wala hana habari bifu la Kagame na Museveni alilihepa mbaya muno kumbuka walikuja ila Angola ndo wanasuluhisha!
 
and yet u believe Ethiopia will use Lamu port! have a choice n save ur Ukunya from embarrassment!
 
Even Ethiopia needs buffer zone from Somali central government, let's wait and see, who is gonna win.
 
Lapset was to open the eastern frontier, not necessarily for Ethiopia..
Hahahaha, so the Lama Port is intended to serve eastern part of Kenya?. Mungu njoo unichukue nimechoshwa na vituko vya duniani, uwiiiiiiiiiiiiii
 
and yet u believe Ethiopia will use Lamu port! have a choice n save ur Ukunya from embarrassment!
Lamu port haina uhusiano na Ethiopia. Kama Kenya tunahitaji port ya pili. Pia tutaitumia kupitishia pipeline ya mafuta. Pia tutaunda SEZ hapo lamu port na Chinese firm wamejitokeza kulifinance. Sahau mambo ya Ethiopia ikija kwa mambo ya Lamu port
 
Lapset was to open the eastern frontier, not necessarily for Ethiopia..
Huyo Geuza urogwe anadhani eti Ethiopia wakijitoa kwa Lamu port eti Lamu port itapoteza viability. Huyo ni zuzu tu wachana na yeye. Lamu port is bigger than Ethiopia. Oil pipeline yetu itapitia hapo. Pia Itatumika kama trans-shipment to smaller ports in East Africa. Kuna SEZ itajengwa Lamu port na Chinese firm wamejitokeza kufinance.
 
Even Ethiopia needs buffer zone from Somali central government, let's wait and see, who is gonna win.
Wewe ndio ulikuwa unasema eti Kdf haijafanya lolote Somalia. Leo umegeuka na kukubali kuwa Kdf imeunda bufferzone? Mbona unatapatapa?
 
story inaendelea kubadilika kila kukicha! 😛😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…