joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ethiopia-Kenya tiff over Madobe re-election bad for security, experts warn
The tension is likely to affect the war against terror in the Horn.
Wakati upande wa Serikali ya Somalia ukiungwa Mkono na Marekani, China, Uingereza, Ethiopia na Ufaransa, upande wa Jubaland unaungwa Mkono na Saudia, Qatar, Kenya, UAE.
Tayari Kenya imeanza kampeni ya kuwa mwanachama wa muda wa baraza la usalama la UN ili kuiwezesha kuwa karibu na mataifa makubwa kujaribu kuyashawishi kubadili msimamo wao katika siasa za eneo hili.
Hata hivyo bwana mdogo Dr. Abiy Mohammed, Waziri mkuu wa Ethiopia ameonyesha kiburi baada ya kufanikiwa kuishawishi Djibouti kukataa kukubaliana na uamuzi wa AU wa kuipitisha Kenya kuwa muwakilishi wa AU katika kugombea kiti hicho cha baraza la usalama la UN, hivyo, Kenya na Djibouti zitapigiwa kura na wanachama wa UN huko NY.
Nani ataibuka mshindi kati ya Uhuru Kenyatta na Abiy wa Ethiopia katika hili?.