Ethiopia na Kenya, nani kuibuka kidedea huko Somalia?

Lamu port haina uhusiano na Ethiopia. Kama Kenya tunahitaji port ya pili. Pia tutaitumia kupitishia pipeline ya mafuta. Pia tutaunda SEZ hapo lamu port na Chinese firm wamejitokeza kulifinance. Sahau mambo ya Ethiopia ikija kwa mambo ya Lamu port
Hivi kirefu cha neno LAPSET ni kipi?, Kwahiyo bandari zenu zote mbili zitahudumia nchi tatu pekee?, yaani Kenya, Uganda na South Sudan?. Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.

Kumbukeni mizigo yote ya WFP kuelekea Uganda na South Sudan imeshahamia Central corridor.
 
Wewe ndio ulikuwa unasema eti Kdf haijafanya lolote Somalia. Leo umegeuka na kukubali kuwa Kdf imeunda bufferzone? Mbona unatapatapa?
Wewe ndio hujaelewa, huyo mwenzako amesema Kenya inalazimika kumuunga mkono Madobe kwasababu Jubaland imepakana na Kenya, yaani ikijenga uadui na Jubaland haitokua rahisi kwa Kenya kuzuia mashambulizi ya Alshabaab, hivyo inahitaji buffer zone.
 
story inaendelea kubadilika kila kukicha! 😛😀
Wamechanganyikiwa hawa jamaa, hawajui walitendalo, kila kitu kinaharibika wakiona. Hao mabwana zao wazungu ndio wameamua kuungana na Somalia, Kenya bila wazungu hawawezi kupata "Penile erection".
 
Wamechanganyikiwa hawa jamaa, hawajui walitendalo, kila kitu kinaharibika wakiona. Hao mabwana zao wazungu ndio wameamua kuungana na Somalia, Kenya bila wazungu hawawezi kupata "Penile erection".
atatolea mtu mbio ki-mbwambwa! we ngoja!
 
Historia ya Lapsset iko hivi: Kibaki alitaka kufungua Eastern part of Kenya ambayo iko underdeveloped na ndio maana akalaunch Lapsset master plan kama vile alilaunch vision 2030. Ukiangalia masterplan Reli pia itapita hapo Lamu Isiolo Moyale na pia pipeline itapita Lamu Isiolo Turkana. Isiolo itafanywa kuwa a main city na ndio maana Isiolo airport ilijengwa. Hii mambo ya Lamu inahusiana na masterplan ya Lapsset na hata branch moja ikivunjika tuseme Ethiopia imejitoa bado kuna mambo mengi yanaendelea including SEZ's na pipelines ambazo zitaongeza viability ya hii project.
 
Wewe ndio hujaelewa, huyo mwenzako amesema Kenya inalazimika kumuunga mkono Madobe kwasababu Jubaland imepakana na Kenya, yaani ikijenga uadui na Jubaland haitokua rahisi kwa Kenya kuzuia mashambulizi ya Alshabaab, hivyo inahitaji buffer zone.
Bufferzone Kdf ilisaidia kuunda mwaka wa 2012. Madobe aliingia mamlakani mwaka wa 2013. Miaka miwili baada ya Kenya kufukuza shabab from Jubaland. Wakati huo Madobe bado alikuwa rafiki wa Kenya lakini alikuwa war lord. 2013 ndio alichaguliwa kuwa msimamizi wa Jubbaland. Bila Kdf kuingia Jubbaland na kugaragaza shabab kutoka Modogashe, Ras kambon, Afmadow hadi Kismayu mwaka wa 2012 basi sahau mambo ya Jubaland. Jubaland haingekuwa. Huyo Madobe kuanzia 2010 alikuwa na maono ya kuanzisha jubbaland ila hakuweza kufurusha shabab hadi sie tulipowasili. Alikuwa tu war lord bila uwezo mkubwa wa makombora na helicopter na jet. Sie ndio tulimpa huo uwezo na ndio maana hadi sasa amegandana na sisi kama gundi, hawezi tuwacha.
 
Huu ni uchumi, huwezi kuweka plan ambayo "is not economically viable". Kila nchi inapenda kufanya mambo mazuri, kinachoshindikana ni kwamba lazima kuwa na sababu za kiuchumi, sio za kisiasa.

Hakuna sababu yoyote ya Kiuchumi inayoonyesha kwamba Lamu Port italeta faida kama Ethiopia na Bomba la mafuta la Uganda haitashiriki, kumbuka kiwango cha mafuta ya Kenya ni kidogo Sana kuweza kushawishi kujengwa kwa pipeline, 800M barrels with recoverable rate 30%, hakuna finencer yoyote atakubali kutoa $2B kwa ajili ya kiasi kidogo kama hicho, ndani ya miaka 3 mafuta yatakwisha.
 
Wamechanganyikiwa hawa jamaa, hawajui walitendalo, kila kitu kinaharibika wakiona. Hao mabwana zao wazungu ndio wameamua kuungana na Somalia, Kenya bila wazungu hawawezi kupata "Penile erection".

Kweli nyinyi wachawi mkoobssessed sana na Kenya🇰🇪.

Endelea kutuchukia lakini kutuchukia haitaboresha maisha yenu hata kidogo You are just wasting your energy.
Sisi huku twapambana na hali zetu bila kumlaumu wala kumsumbua mtu yeyote wewe uko huku kila masaaa unatutaja taja ovyo ovyo. Jipe shughuli kaka.

Enda pale KT hakuna mtu yoyote anaye zungumzia wala kutaja mambo ya tanzania kwa kiufupi nakwambia focus on tanzania and keep Kenya out of your mouth.
 
Lamu port sio pesa nyingi kujenga. Serikali imetumia takriban ksh 54 billion. Yaani trilioni moja ya Tanzania. Hio sio pesa nyingi ukizingatia pesa inayopotea through corruption afadhali hii pesa imeenda kwa project kushinda kuenda kwa mfuko wa mtu binafsi au mbaya zaidi kuenda kwa failed project kama Galana Kulalu ambako mabilioni yamepotea. Mimi sina shida na project ambayo inakamilika. Hio ni good news.
 
Tatizo la Kenya, huwa hamjipangi wala hamjui nini mnahitaji kukipata katika jambo au maamuzi mbayofanya, kwasababu hiyo, lolote linalopatikana baada ya matendo yenu mnaona ni mafanikio.

Lengo la KDF kwenda Somalia halikuwa kuikomboa Somalia au Jubaland, lengo lilikua ni kuzuia Alshabaab kujiingiza Kenya na kuwateka watalii na kuhatarisha amani ya Kenya.

KDF imewafukuza Alshabaab kutoka katika maeneo waliyokuwa wanayashikilia(Hili halikuwa" Goal" ya KDF), lakini KDF wameshindwa kuzuia Alshabaab kujipenyeza na kuishambulia Kenya(Hili ndio lilikua "Goal la KDF). Sasa wewe unafurahia KDF kuwafurusha Alshabaab toka Jubaland.
 
Hahahaha, Lamu port is $5B project ikikamilika, hiyo $500M ni pesa ambayo Serikali imetoa kujenga berth ya kwanza tu, wakati inatafuta investors kumalizia berths 9 zilizobaki.

Lamu port ni mradi mkubwa kuliko hiyo SGR yenu kama vyote vitakamilika kama vilivyokusudiwa mwanzoni.

Hata hivyo, $500M ni pesa nyingi sana kuitumia kujenga bandari ya pili ambayo haina Wateja, mngeweza kuitumia kupanua bandari ya Mombasa na kuepukana na mkopo wa Japan, au mngeweza kuwekeza kujenga mabwawa ya MAJI katika maeneo hayo ya Turkana, faida za kiuchumi na kijamii zingekuwa kubwa sana kwa Kenya.
 
Migogoro ipi Kenya ikon nayo na South Sudan??
You do realize Salva Kir asked that his children become dual citizens of Kenya right? and he calls Kenya home?
This was written in the Sudan Tribune mind you!
Uganda???Uganda has issues with you guys, not us.We have hosted M7 several times, he has ridden our SGR and in Tokyo, M7 and Uhuru were busy being chumy to each other.
Ethiopia and Kenya's divergence overthe issue of Jubaland is more to do with the fear that Jubaland 's federal status might inspire something similar in Ogaden. Plus, Madobe is an actual Ogadeni from Ethiopia rather than a Somali born Ogadeni.
However, Madobe united many warring factions against Al Shabaab and removed them from most of Jubaland under the KDF. Unlike some nations, we do not throw our allies under the bus.
 
Virtually all of Al Shabaab attacks up to 2014 came from the Gedo region which was the part of Jubaland first controlled by Sierra Leone then Ethiopia. No Al Shabaab Attack emnated from Lower Juba ,which is controlled by the KDF at any time save for the Mpeketoni attacks and that is because the Al Shabaab had hidden themselves in an expansive forest shared by both Kenya and Somalia(Boni Forest in Lamu-BushBush in Lower Juba). Even the current shennaingans with the Cuban doctor happened in Mandera. and the attacks in Wajir all show the assailants cross into Kenya from what was until a couple of months ago, Ethiopian held territory into Arabia or El Wak in Mandera then move south.
 
Go and read about dispute between Kenya and South Sudan on Ilemi triangle
 
Go and read about dispute between Kenya and South Sudan on Ilemi triangle
Dude, the Ilemi Triangle was never disputed between the two. Sudan established a patrol line in the 1950s and de-facto gave it up to Kenya.
South Sudan no longer adds Ilemi as part of Kapoeta State(or previously Equitoria state before it was divided).It is usually shaded a mix of Kenya and South Sudan. Can you show any place where Kenya and South Sudan have clashed over Ilemi ???
There isn't any!! KDF has a millitary presence in the area since when Nadapal became the official border post of Kenya and South Sudan(before even South Sudan became independent) and neither South Sudan nor the Toposa and Turkana people have complained about it.(The Governor of Kapoeta has complained that livestock from South Sudan are not being allowed into the Ilemi Triangle but he was silenced when it was pointed out that the 2009 MoU allows Kenya to more or less control the movement of people in and out of the Ilemi Triangle
South Sudan and Kenya have a joint commission that aims to resolve conflict between the Toposa and Turkana in Ilemi.
If we had a dispute with South Sudan, why would we form a joint commission with them???
Please, there is no such thing as a "dispute" for the Ilemi area. Its status remains ambiguous and it is de facto a part of Kenya as it has been since the era of British East Africa.
 

Thanks for the clarification ,factual and logical analysis is something foreign in TZ
 
Good job educating that australopithecus
 
Tunaposema wakenya mpo na akili ndogo sana, huwa mnasema tunawadhalilisha, ni jambo la kushangaza kuona kwamba hata historia na mambo yanayohusu nchi yako huyafahamu kabisa, jambo la kusikitisha zaidi ni kuona hata wale wenye akili huko Kenya wanalazimika kujitoa ufahamu na kushabikia watu poyoyo.

Sema hii hapa inayohusu "dispute" kati ya Kenya na South Sudan

cc. Tony 254
Vulcan
 
Siku hizi unacharazwa sana. Leo Gerald710 amekuchapa 10-0 kwa mambo ya Ilemi triangle
Hii ni kutaka kukuthibitishia kwamba, uwezo wa akili wa wakenya ulivyo mdogo sana.
cc. Gerald710
Vulcan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…