joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Hivi kirefu cha neno LAPSET ni kipi?, Kwahiyo bandari zenu zote mbili zitahudumia nchi tatu pekee?, yaani Kenya, Uganda na South Sudan?. Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.Lamu port haina uhusiano na Ethiopia. Kama Kenya tunahitaji port ya pili. Pia tutaitumia kupitishia pipeline ya mafuta. Pia tutaunda SEZ hapo lamu port na Chinese firm wamejitokeza kulifinance. Sahau mambo ya Ethiopia ikija kwa mambo ya Lamu port
Kumbukeni mizigo yote ya WFP kuelekea Uganda na South Sudan imeshahamia Central corridor.