Ethiopia na Kenya, nani kuibuka kidedea huko Somalia?

Naona sikuhizi umebadirisha punchline .mbona huongezi ile punchline yako 'Kenya is a failed state'πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Btw the average IQ level ya Kenya Iko higher kuliko ya Tanzania.sijui unasema nini.
 
Naona sikuhizi umebadirisha punchline .mbona huongezi ile punchline yako 'Kenya is a failed state'[emoji23][emoji23]
Kuna wenzako walinifuata "in box " na kuniomba nisiseme tena kwamba Kenya ni "failed" state, ila kwasababu umeniomba nithibitishe kwamba Kenya ni failed state, nimekubali ombi lako, Soma kwa makini sababu zilizoifanya Kenya kuwa "failed state"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…