Ethiopia na Kenya, nani kuibuka kidedea huko Somalia?

Ethiopia na Kenya, nani kuibuka kidedea huko Somalia?

Hii ni kutaka kukuthibitishia kwamba, uwezo wa akili wa wakenya ulivyo mdogo sana.
cc. Gerald710
Vulcan
Naona sikuhizi umebadirisha punchline .mbona huongezi ile punchline yako 'Kenya is a failed state'😂😂
 
Btw the average IQ level ya Kenya Iko higher kuliko ya Tanzania.sijui unasema nini.
 
Naona sikuhizi umebadirisha punchline .mbona huongezi ile punchline yako 'Kenya is a failed state'[emoji23][emoji23]
Kuna wenzako walinifuata "in box " na kuniomba nisiseme tena kwamba Kenya ni "failed" state, ila kwasababu umeniomba nithibitishe kwamba Kenya ni failed state, nimekubali ombi lako, Soma kwa makini sababu zilizoifanya Kenya kuwa "failed state"
 
Back
Top Bottom