Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Hakuna tofauti ya rules kati ya 7 aside au 15 aside isipokuwa idadi ya wachezaji. Hiyo ni kama kusema unapenda full marathon lakini hupendi half marathon ilhali sheria ya mchezo ni sawa. Rugby ni rugby hakuna tofautiThe only rugby game I respect is 15 aside and not the baby thing 7 aside! Peleka ujinga nobody knows 7 aside!