Ethiopia: Updates on war against TPLF

Msemaji wa TPLF Bw Gatachew Rada. Ametoa taarifa kua TDF imemealiza kujipanga upya na nashambulizi yameanza upya. Aidha vyanzonvingine pia vinaonesha TDF imeanza kujihama siyo kama siku 7.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Wanafunzi wa Sekondari baada ya shule kufungwa wanavuna mazao kwa pamoja na kuzisaidia familia ambazo vijana wao wamejitolea kwenda vitani.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Mzee hayo maneno tu ya kujitetea.tayari miji ya Dessie na kombolcha ishachukuliwa na simba wa vita(bwana Abby).sasa sijui walijipanga kwenye nini
 
Mzee hayo maneno tu ya kujitetea.tayari miji ya Dessie na kombolcha ishachukuliwa na simba wa vita(bwana Abby).sasa sijui walijipanga kwenye nini
Kwenye vita propaganda ni silaha muhimu saana mkuu. Nilisikia hata JWTZ ilikuwa inamzingua Idd Amin kuwa vikosi vya nchi mbalimbali vipo nao vitani na wameshaizingira Entebbe. Kumbe hamna lolote
 
Kwenye vita propaganda ni silaha muhimu saana mkuu. Nilisikia hata JWTZ ilikuwa inamzingua Idd Amin kuwa vikosi vya nchi mbalimbali vipo nao vitani na wameshaizingira Entebbe. Kumbe hamna lolote
[emoji23]
 
Waethiopia wanapenda Sana Vita, ndio maana ndo wababe wa kivita Africa nzima
 
Kwenye vita propaganda ni silaha muhimu saana mkuu. Nilisikia hata JWTZ ilikuwa inamzingua Idd Amin kuwa vikosi vya nchi mbalimbali vipo nao vitani na wameshaizingira Entebbe. Kumbe hamna lolote
Kwa iyo unataka kuniambia kuwa habari ya miji kuchukuliwa ni propaganda?
 
Ww ndo hewaa kabisaaa! Type za kina zzk...kenge kabisaa..umekuja na hasira za kumchukia JPM huku na hujui chochote kuhusu hiyo vita ya ethiopia.
Kwenda kale mavi ya korokoroni hujuj kitu kenge ww
 
Ww ndo hewaa kabisaaa! Type za kina zzk...kenge kabisaa..umekuja na hasira za kumchukia JPM huku na hujui chochote kuhusu hiyo vita ya ethiopia.
Kwenda kale mavi ya korokoroni hujuj kitu kenge ww
Hauna hoja, ndio maana unatukana.
Tukimalizana na huu uzi tufungue wa kutukanana nako ntakuzidi
 
Yaani, Kila Jimbo lina jeshi lake na kila kabila hivyo hivyo... ila watu wengine bhana
Hiyo ndio nzuri,Jeshi la Jimbo Ni Muhimu ili kulinda Maslahi ya Jimbo endapo mtawala wa Serikali Kuu atakauja na Chuki zake dhidi ya Jimbo furani.

Hata hapa Tanzania,kipindi Cha utawala wa awamu ya 5 Kuna Mikoa ilipendelewa Mpaka kufikia hatua wakati wengine Nyumba zao zinabomolewa na Tingatinga Mikoa pendwa hata Vibanda vya mbwa havikubomolewa. Hayo majimbo yaliyobomolewa Nyumba yangelikuwa na Jeshi lao la kuwatetea ukute Nyumba zao Mpaka leo zingelikuwepo.
 
kweli kabisa.Heshima ingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…