Alice Gisa
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 172
- 417
- Thread starter
-
- #21
Safi sana piga hao mbwa wanaodhani wanastahili kufanya lolote kuwa wao ndiyo wanafaa kuongoza ethiopia tu.Wapiganaji wa Serikali na Afar wakipokelewa na Wananchi baada ya ukombozi. Miji imebomolewa vibaya na Watigray TDF. Mauaji ni makubwa sana.View attachment 2026710View attachment 2026711View attachment 2026712
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Jana nimelala vizuri kabisa kwa furaha maana nilikuwa nachukia sana kuona awa jamaa wanaoleta ukabila wanaendelea tu kusonga mbele.Wapiganaji wa Serikali na Afar wakipokelewa na Wananchi baada ya ukombozi. Miji imebomolewa vibaya na Watigray TDF. Mauaji ni makubwa sana.View attachment 2026710View attachment 2026711View attachment 2026712
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Ndoto za alinachaMarekani endelea ivyo ivyo kufadhili ugaidi,ipo siku tu litakukuta jambo
Hii Vita Eritria wamechangia sana Ushindi. Naweza sana Bila Eritria vita ingewawia ugumu sana serikali. Pia UAE wamesaidia sana kwa anga.Jana nimelala vizuri kabisa kwa furaha maana nilikuwa nachukia sana kuona awa jamaa wanaoleta ukabila wanaendelea tu kusonga mbele.
Hakika marafiki wa kweli hapa Duniani ni Iran,Warusi na UAE + Waturuki.msaada wenu umekuwa nguzo muhimu sana kwa Watu wa Ethiopia,naimani Wa Ethiopia watawashkuru sana.pongezi zingine ziende kwa Eritrea kwa kusaidia mpaka kutoa wanajeshi japo kuna watu waliamua mpaka kukuwekea vikwazo.
Misri tulikuwa pamoja Libya ila safari hii umeniangusha sana. ujatumia akili na busara.
Safi sana!Hii Vita Eritria wamechangia sana Ushindi. Naweza sana Bila Eritria vita ingewawia ugumu sana serikali. Pia UAE wamesaidia sana kwa anga.
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chama gani icho mkuuSafi sana!
Huu ungese wa utawala wa kimajimbo kuna kijichama flani hapa kwetu huwa kinatamani kuuleta
Kinajijua mkuu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chama gani icho mkuu
Marekebisho kidogo.Salaam,
Kwa mahaba yangu Nitakua naweka updates za mapigano yanayoendelea huko Ethiopia Kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa TPLF na Jeshi lao liitwalo TDF.
Kwanza Kuna vitu vya kuweka sawa
1. Vita siyo Kati ya Ethiopia na Jimbo la Tigray. Bali ni Vita ni Kati ya Ethiopia na Chama Cha TPLF. Chama hicho ndiyo kina Jeshi lake liloitwa TDF (Tigray Defence Force). Chama hiki wafuasi wake wengi ni watu wa Jimbo la Tigray ila siyo wote. Takwimu zinataja Chama kinaungwa mkono huko Tigray kwa wasitani wa asilimia 70. Hivyo kama 30 ya Watigray hawakikubali.
Chama hiki ndiyo kiliongoza mapigano ya kumpindua Waziri mkuu wa Zamani Mangisu Haille Mariam mwaka 1991. Baada ya kufanikiwa Mtigray wa kwanza akaongoza nchi hiyo Bw Melez Zenawi.
Melez ndiye alirudisha utawala wa majimbo uliokua umetokomezwa tangu 1975 baada ya mapinduzi ya mfalme Haile Selassie.
Aidha katika utawala wa Melez ndiyo Watigray walikamata fursa zote za taifa.
Baada ya kifo cha Melez na maandamano ya Waoromo na Wahmara ulifanyika uchaguzi mkuu akashinda Bw Ali Ahmed Ali mwaka 2018.
Bw Abiy kwa kabila ni Muoromo. Abiy akaanza mikakati ya kuweka usawa jeshini na kwenye taasisi nyingi nyeti za taifa. Jambo ambalo liliwaudhi Watigray.
Chuki hii ndo imefikisha taifa katika vita.
2. Napenda niweke sawa wiano wa watu Ethiopia. Nchi hiyo inamakabila mengi zaidi ya 20 ila Makabila makubwa ni matatu. La kwanza ni Oromo 34% la pili Ahmara 27%, na la tatu ni TIGRAY 06%.
3. Historia utawala wa Ethiopia ni Kati ya Wa Ahmara na Tigray. Wa Oromo hawajajaliwa kutwaa kiti mara nyingi.
4. Wa Tigray na Ahmara ni Wahabeshi wakati Waoromo ni Wakush.
Mwisho wa UTANGULIZI.
Vita.
TPLF ni rafiki wa Magharib hasa US. Wakati Abiy ni rafiki wa nchi majirani hasa Eritria, Somali hadi UAE. Sababu ya hili ni moja, Watigray huwa ni vibaraka wa US, kusimamia maslahi ya US katika pembe ya AFRICA. Utakumbuka enzi za PM Melez Zenawi akiwa Waziri Mkuu wa Ethiopia. US walikua wanatumia Jeshi la Ethiopia kuwachapa Wasomali na Wa Eritria.
Sasa Waeritria hawataki Watigray watawale Ethiopia kwa hofu zama za Marekani kuwapiganisha zitarudi.
Ni mpambano baina ya Federalism na Regionalism.Utaifa dhidi ya Ukabila.Mchambuzi usiwe na upande..acha sisi wapenzi wasomaji tuchague nani yuko sawa...
Sorry ya Adwa ni tofauti sana. Ijapokua Adwa ni Tigray ila aliongoza vita na kushinda ni Menelik II. Waitaly walifanikiwa kuangusha utawala ya Watigray na mfalme wao Yohane vi alikua kaangushwa ndipo Jeshi la Menelik mfalme wa Waahmara alipkuja na Jeshi lake kufanikiwa kuwapiga Waitaly kwa pigano kubwa la Adwa.Eritrea yenyewe Ina historia tofauti kidogo sababu ilitawaliwa na Italy japo briefly wakati Menelik alizuia kutwaliwa na hatimaye kura wakiwa kwa sehemu nyingine za Ethiopia.Vita dhidi ya waitalia ilipiganwa zaidi na Wa Tigray na hata majeshi ya Italia yalisambaratishwa kwa kichapo walichopata katika mji wa Adowa ambao upo jimbo la Tigray kwa sasa.Hilo na historia ya Malkia wa Sheba kuzaa na Nabii Suleiman kumewafanya Watigray kujiona watu maalum wanaostahili kuongoza wengine tu huko Ethiopia .Wanajiona ni Wateule fulani kama vile Waisrael .Ndio maana hata kama wangefanikiwa kuuteka Addis Ababa bado wangepata shida sana kutawala hiyo nchi maana hawakubaliki makabila mengine makubwa.Wangeishia udikteta tu kama wa Mengistu Haile Mariam na Meles Zenawi
Nadhani alikurupuka.TPLF baada ya kumshinda Mengistu hakikuwa chama cha kimapinduzi tena.Ndio maana baada ya muda mfupi uasi ulianza tena kutoka kwa makabila mengine kama Oromo,Somali,Afar .Walikuwa na upendeleo wa makusudi wa kabila na eneo lao.Hata mafanikio makubwa ya kijeshi waliyopata ni kutokana na Silaha nyingi na miundombinu mingi ya kijeshi kubakia Tigray baada ya vita iliyokuwa na umwagikaji mkubwa wa damu baina ya Ethiopia na Eritrea ikizingatia Tigray ndio ilikuwa battlefront kwa upande wa Ethiopia.TPLF ilianzisha vita kwa kuwaua au kuwateka askari wa serikali ya muungano waliokuwa Tigray na kuchukua silaha zote za kimkakati na kuzitumia dhidi ya Jeshi la Serikali.Walikimbia mji wa Mekele kimkakati kwenda Milimani ambako inadaiwa ni ngumu sana kuwaondoa kutokana na jiografia yake.Hata sasa nadhani endapo watashindwa bado wataenda huko kujichimbia na kujipanga upya.Wao lengo ni Uhuru wa Tigray wala sio kuitawala Ethiopia yote kwa sasa wakati Abiy anataka Ethiopia japo ya shirikisho iliyo moja.Hizi Habari siyo njema kwa Zitto, zitto alikuwa anawaunga mkono wa Tigray kwenye uchambuzi wa DW
Huyo mdada picha ya pili akimaliza hiyo kazi aje tufunge pingu za maisha.Wapiganaji wa Serikali na Afar wakipokelewa na Wananchi baada ya ukombozi. Miji imebomolewa vibaya na Watigray TDF. Mauaji ni makubwa sana.View attachment 2026710View attachment 2026711View attachment 2026712
Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Ahaa nimeanza kuwaelewa sasa watigray inamaana wanatabia kama za watusi walivyo.Eritrea yenyewe Ina historia tofauti kidogo sababu ilitawaliwa na Italy japo briefly wakati Menelik alizuia kutwaliwa na hatimaye kura wakiwa kwa sehemu nyingine za Ethiopia.Vita dhidi ya waitalia ilipiganwa zaidi na Wa Tigray na hata majeshi ya Italia yalisambaratishwa kwa kichapo walichopata katika mji wa Adowa ambao upo jimbo la Tigray kwa sasa.Hilo na historia ya Malkia wa Sheba kuzaa na Nabii Suleiman kumewafanya Watigray kujiona watu maalum wanaostahili kuongoza wengine tu huko Ethiopia .Wanajiona ni Wateule fulani kama vile Waisrael .Ndio maana hata kama wangefanikiwa kuuteka Addis Ababa bado wangepata shida sana kutawala hiyo nchi maana hawakubaliki makabila mengine makubwa.Wangeishia udikteta tu kama wa Mengistu Haile Mariam na Meles Zenawi