Ukabila wa Waethiopia ni ngumu sana. Mengitsu Alikua Muamhara. Mama yake alikua Mkono kabila dogo la kusini. Akakulia kusini.
Pia Mengitsu hakumpindua Haile Selassie direct. Selassie alipinduliwa na Kamati ya maofisa wadogo wa Jeshi. Miaka mitano baada ya mapinduzi ndipo Mengitsu akawa Rais kwa fitina nyingi za kisiasa.
Leo hii Abiy ni Muoromo kwa baba. Ila mke na mama yake ni Amhara. Huyu anapendwa zaidi na WA Amhara kuliko wa Oromo wa babaye.
Kila kibila lina Interest zao. Kibachoangaliwa ni interest. Unajua Haile Selassie alipendwa na Watigray sana. Maana aliruhusu wakajazana selikali.
Sent from my Lenovo L38111 using
JamiiForums mobile app