Ethiopia: Updates on war against TPLF

Ethiopia: Updates on war against TPLF

Habesh ni jumuisho ya Makabila yenye ufanano na asilia ya Asia ya kusini kama Yemen. Ila tofauti Hawa waliunda Dola ya Kikristo ya kale sana na hawakua Arabized.

Watawala wa Ethiopia na Makabila yao.

1. Menelik II kabila lake ni Amhara
2. Haile Selassie kabila lake ni Amhara
3. Mengetsu Haile Mariam kabila lake Ahmara
4. Melez Zenawi kabila lake ni Tigray
5. Haile Mariam Deselng Kabila dogo la kusini Woylita.

6. Abiy Ahmed ni Muoromo.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Mkuu ni kweli hawa Tigray nikutoka uzao wa Suleiman kupitia Malkia wa Sheba?
 
Kumbe wahutu ndio walitungua ndege ya raisi aliekuwa muhutu!!!
Maskini elimu yetu
Ndege inasemekana ilitunguliwa na watusi ikiwa imewabeba maraisi wa Rwanda na Burundi wote wahutu, hii iliamsha hasira za wahutu na kuanza kutekeleza mauaji ya watusi
 
TDF imeanza kurudisha miji Tena. Baadhi ya vyanzo vinataja miji miwili imerudishwa usiku wa jumamosi ya Jana trh 11.12.2021.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
TDF imeanza kurudisha miji Tena. Baadhi ya vyanzo vinataja miji miwili imerudishwa usiku wa jumamosi ya Jana trh 11.12.2021.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Siyo kurusisha,wanazidiwa Kwa kichapo cha mbwa mwizi.
 
TDF imeanza kurudisha miji Tena. Baadhi ya vyanzo vinataja miji miwili imerudishwa usiku wa jumamosi ya Jana trh 11.12.2021.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Miji iyo miwili ni ipi na ipi ndugu mbona tunaona ni mmoja tu
 
TDF imeanza kurudisha miji Tena. Baadhi ya vyanzo vinataja miji miwili imerudishwa usiku wa jumamosi ya Jana trh 11.12.2021.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
Haya Mashirika yamebakiza majina tu, ila uandishi wa habari hata Global News ya kaka yangu Shigongo imewazidi mbali. Yaani habari nzima na sensitive namna hii inategemea "witness" ambaye no hotel receiptionist?

Huyu ana utaalam gani au alikuwa anashuhudia kutoka wapi? Note wasemaji rasmi wote wako kimya. Halafu bado kuna watu wanwachukulia serious hawa watu, bila kuwa critical...

Government spokesperson Legesse Tulu did not respond to requests for comment on the reported recapture of the town by forces loyal to the Tigray People's Liberation Front (TPLF).

TPLF spokesperson Getachew Reda also did not respond to a phone call seeking comment.

One of the witnesses who spoke to Reuters said that special forces from the Amhara region and their militia allies, both of whom are allies of the Ethiopian government, began leaving Lalibela on Saturday night.

"The last batch left this morning. We heard gunshots from a distance last night but the Tigrayan forces recaptured Lalibela without firing guns in the town," said the witness, a hotel receptionist, by phone.
 
jeshi la ethiopia na washirika wao,
hawana morali ya kupambana,
ijapokuwa wana wana silaha nyingi kuzidi tplf,
mimi nadhani ndege ndo zinazowapa tplf wakati mgumu,
hata ikitokea jeshi likapata ushindi kwa sasa
hiyo haiwez kuwa mwisho wa vita kwa ethiopia,
maana inavyoonekana jeshi lao dhaifu halina morali ya kupambana
hawako tayari kufa kwaajili ya kupigania nchi,
kinyume na wenzao tplf,
 
Huu ndiyo mtihani wenyewe. Jeshi la nchi Halima Molari. Atleast majeshi ya majimbo ya Afar na Amhara.

Vita hii kwa Sasa Serikali inategemea Jimbo la Amhara na Far.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
jeshi la ethiopia na washirika wao,
hawana morali ya kupambana,
ijapokuwa wana wana silaha nyingi kuzidi tplf,
mimi nadhani ndege ndo zinazowapa tplf wakati mgumu,
hata ikitokea jeshi likapata ushindi kwa sasa
hiyo haiwez kuwa mwisho wa vita kwa ethiopia,
maana inavyoonekana jeshi lao dhaifu halina morali ya kupambana
hawako tayari kufa kwaajili ya kupigania nchi,
kinyume na wenzao tplf,
Mbona ulichonukuu na ulichojibu havifanani? Mimi naongelea maadili na weledi wa uandishi wa habari na sio majeshi yawe ya TPLF au ENDF!
 
kwa hilo uko sahihi, kwamba hyo habar ya kutekwa mji wa wa laribela haijathibitiswa na upande wowote,
mimi nilizungumzia morali ya jeshi kuwa ndogo endapno ni kweli wameuacha mji wa kihistoria wa laribela kutekwa na tplf pasipo kuonyesha upinzan wowote
 
Huu ndiyo mtihani wenyewe. Jeshi la nchi Halima Molari. Atleast majeshi ya majimbo ya Afar na Amhara.

Vita hii kwa Sasa Serikali inategemea Jimbo la Amhara na Far.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
afal na amhara hawana ubavu wa kupigana na tplf,
kifup jeshi la ethiopia uimara liliwategemea watigray
bila sapot ya eritrea na baadhi ya nchi zinazomuunga mkono abiy kama turkey.
Uae china na wengneo mambo yangekuwa tofaut huko uwanjan,
kifup jeshi lipo weak,
 
Jeshi la ethiopia linaogopa kuua raia wema na ndio maana linachukua precautions za hali ya juu , kuna maisha baada ya vita
 
afal na amhara hawana ubavu wa kupigana na tplf,
kifup jeshi la ethiopia uimara liliwategemea watigray
bila sapot ya eritrea na baadhi ya nchi zinazomuunga mkono abiy kama turkey.
Uae china na wengneo mambo yangekuwa tofaut huko uwanjan,
kifup jeshi lipo weak,
Menelik 2 alikua Mfalme wa Amhara aliangusha mfalme wa Tigray King Yohanes V na kuanzisha Ethiopia ilikua 1896.

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Sasa Bw Abby Yuko njia panda. Inatajwa wapiganaji wanamigambo wa majimbo Amhara na Far wanataka kuingia Jimbo la Tigray makamanda wa Jeshi la serikali hawataki. Hofu ni kua wanamigambo wakiingian Tigray watafanya uharibifu mkubwa. Kwani wengi wakisasi na Tigray.

Kwa Sasa Kuna option tatu.
1. ENDF ndiyo pekee ingie Tigray kuweka order
2. ENDF na Wanamigambo wa majimbo wasiingie Tigray bali ifanyike mazungumzo na TPLF
3. ENDF na Wanamigambo wa majimbo kwa pamoja waingia Tigray
IMG_20211214_152255.jpg
 
3. ENDF na Wanamigambo wa majimbo kwa pamoja waingia TigrayView attachment 2045723
Waingie wafanye genocide kabisa,baadae waanze kukimbizama na ICC.Maana Abiy US na washirika wake wanamsubiria kumpa kesi ya kufanya Genocide au uhalifu wa kivita.
 
Kwa Sasa Bw Abby Yuko njia panda. Inatajwa wapiganaji wanamigambo wa majimbo Amhara na Far wanataka kuingia Jimbo la Tigray makamanda wa Jeshi la serikali hawataki. Hofu ni kua wanamigambo wakiingian Tigray watafanya uharibifu mkubwa. Kwani wengi wakisasi na Tigray.

Kwa Sasa Kuna option tatu.
1. ENDF ndiyo pekee ingie Tigray kuweka order
2. ENDF na Wanamigambo wa majimbo wasiingie Tigray bali ifanyike mazungumzo na TPLF
3. ENDF na Wanamigambo wa majimbo kwa pamoja waingia Tigray
Kwa Sasa Bw Abby Yuko njia panda. Inatajwa wapiganaji wanamigambo wa majimbo Amhara na Far wanataka kuingia Jimbo la Tigray makamanda wa Jeshi la serikali hawataki. Hofu ni kua wanamigambo wakiingian Tigray watafanya uharibifu mkubwa. Kwani wengi wakisasi na Tigray.

Kwa Sasa Kuna option tatu.
1. ENDF ndiyo pekee ingie Tigray kuweka order
2. ENDF na Wanamigambo wa majimbo wasiingie Tigray bali ifanyike mazungumzo na TPLF
3. ENDF na Wanamigambo wa majimbo kwa pamoja waingia Tigray
Source?
 
Back
Top Bottom