Ethiopia waanza kuzalisha umeme kwenye bwawa lao kubwa, mipango kuuzia Kenya huku Wabongo wakisuasua na lile lao

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Chelewa chelewa utshangaa.... Nilisoma sehemu bwawa la Watz bado liko 44% wanaendelea kuburuzana huko....

Kenya and Ethiopia have started talks on Nairobi’s plans to buy electricity from the $ 4.5 billion Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) that began generating power on Sunday. This is according to Ethiopia’s ambassador to Kenya, Meles Alem.

Meles wrote on his Facebook page that power exports to Kenya are part of Ethiopia's “Economic diplomacy which is at the centre of the country's foreign policy”.

The Nairobi meeting came a day after the Horn of Africa nation announced that its controversial dam on the Blue Nile river had begun generating electricity.

Earlier this month, Kenya reached a new agreement with Ethiopia to import hydro-processed cheap power.

The arrangement was reached after an Ethiopian delegation, led by Ethiopia’s state minister for finance, Eyob Tekalign, visited Nairobi on February 2-4.

The neighbours had deliberated on previously signed power trade agreements and deals on the interconnection of power systems in light of progress made on each side.

Hakuna cha ajabu hapo ..Mpango huo ulikuepo kimkakati umeshindikana ndio maana tumeamua kujenga Hili la Mwalimu Nyerere .ina maana Kenya mmekamilisha kila plan walizopanga viongozi wenu?
 
Hakuna cha ajabu hapo ..Mpango huo ulikuepo kimkakati umeshindikana ndio maana tumeamua kujenga Hili la Mwalimu Nyerere .ina maana Kenya mmekamilisha kila plan walizopanga viongozi wenu?

Mnachelewa sana, hapo ni miaka kumi imepita mlikua muanze kuuza umeme, tatizo lenu huwa mnaongea sana na kutupigia makelele humu.
 
Mnachelewa sana, hapo ni miaka kumi imepita mlikua muanze kuuza umeme, tatizo lenu huwa mnaongea sana na kutupigia makelele
Ni swala la Muda tu tutakamilisha miradi yetu.Hakukua na haja ya wewe kufurahia changamoto wanazopitia wengine
 
Ni swala la Muda tu tutakamilisha miradi yetu.Hakukua na haja ya wewe kufurahia changamoto wanazopitia wengine

Nilikua nakumbushia tu maana kwa makelele yenu, hamjambo....Anyway big up, tutasubiri.
 
Mimi nikadhani Kenya nao wamepata umeme wao kumbe wanafurahia kununua umeme kutoka nchi jirani??!--- kama hali ya majivuno ndio hiyo kwa kitu kisichokuwa chenu (cha kununua) vipi kama mngekuwa na Bwawa la umeme!!??🤣

Nyie mnashangaza sana.
 
Hehehe Umeme tunazalisha karibia mara mbili yenu, ni ile kwa sasa viwanda vyetu vinazidi kukua kwa kasi hadi inabidi tuchakarike kuwatafutia umeme nje huku tukiendelea kuongeza mbinu za uzalishaji.
Kuna mataifa mengi yenye chumi mara mia yenu lakini hulazimika kuagiza nishati nje.

Mjitahidi hiyo gesi inayoliwa Ulaya na kuwaacha maskini hoi, muelekeze kwetu kwa mabomba, tutawalipa, jeuri ya hela tunayo.
 
Arrogance characterises tribalism, unless you (Kenyans) get rid of arrogance you will never avoid tribalism.
 
Kujimwambafai Hamjambo Hongereni
 
Si mnaweza pia kuzalisha wenu bila kutegemea majirani
 
Wabongo wanasusua na la kwao, huyu anosuasua na lakwake na yule anaijisifu kwa kutegemea msaada wa jiran amuuzie je, nani ako na akili kumkichwa?
 
Reactions: Oii
Wabongo wanasusua na la kwao, huyu anosuasua na lakwake na yule anaijisifu kwa kutegemea msaada wa jiran amuuzie je, nani ako na akili kumkichwa?

Mwenye akili ni yule "mnunuzi" kutoka kwa mwenzake, hata akipandishiwa bei yeye atanunua tu kwani si anayo jeuri ya pesa !!!,(anacho kisima cha pesa).🤣
 
Reactions: Oii
Wabongo wanasusua na la kwao, huyu anosuasua na lakwake na yule anaijisifu kwa kutegemea msaada wa jiran amuuzie je, nani ako na akili kumkichwa?

Nimeshamjbu mwenzako hapo juu hili swali, tatizo huwa hamshirikishi ubongo kabla kuandika, unakuta uzi mmoja nyote mnauliza swali moja tu.
 
JNHPP ni mradi wa pili kwa ukubwa Afrika sio mchezo Wa kitoto
mpaka sasa ni nchi mbili tu afrika zenye mradi mkubwa wa kuzalisha umeme wa maji

Ethiopia
Tanzania

Nitakuja na baadhi ya picha za mradi

Power house 👆🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…