Ethiopia waanza kuzalisha umeme kwenye bwawa lao kubwa, mipango kuuzia Kenya huku Wabongo wakisuasua na lile lao

Utakuwa unassikiliza TBC Sana ndio maana ubongo wako umedumaa kwa Propaganda za CCM.

Kafuatilie Ujenzi wa THREE INGA DAMS kule DRC. Bwawa Hilo likikamilika litakuwa ndio bwawa kubwa Kuliko yote Duniani likiwa na Uwezo wa kuzalisha 40,000MW wakati Hilo la Ethiopia ni 6,500MW na la Tanzania ni 2,115MW.
 
Angalia nimeandika nini Ndio upinge . Usiwe mbishi tuu bila sababu za msingi kwasababu unachuki na kitu ,zungumzia uhalisia.
Inga dam ujenzi haujaanza bado ni mipango.
 
Unajua imechukua muda gani Ethiopia. Kumaliza hilo bwawa
 
Unajua imechukua muda gani Ethiopia. Kumaliza hilo bwawa
Tangu kipindi cha Marehemu Meles Zenawi! Over 11 years n expected to be fully completed before operational in 2024!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…