Ethiopia: Wahitimu 3% pekee ndio wamefaulu kwenda Chuo Kikuu

Ethiopia: Wahitimu 3% pekee ndio wamefaulu kwenda Chuo Kikuu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Asilimia hiyo ni wastani wa wahitimu ambao wamepata alama nzuri zinazowawezesha kuendelea na masomo ya Chuo Kikuu.

Waziri wa Elimu wa Ethiopia, Berhanu Nega amedai matokeo hayo ni ya kushtua, ambapo inaaminika migogoro na vita vya ndani ya Nchi ni moja ya sababu, huku Wanafunzi 12,000 ikidaiwa walitoroka na kutofanya mtihani ya kuhitimu.

Imeelezwa kutafanyika utaratibu mwingine ili kupata wanafunzi wengi watakaosoma katika Vyuo Vikuu ikiwemo kurudiwa kwa mitihani ambayo wengi wamefeli.



========


Only 3% pass Ethiopia university entry requirements

Only 3% of school leavers in Ethiopia have won good enough grades to go to university, says Education Minister Berhanu Nega, who has called these latest exam results "shocking".

No exams took place in the war-torn region of Tigray, where the federal government has not provided education for two years.

There was also controversy over the timing of the final exams for students living in areas which were heavily impacted by the civil war in the north of the country, including in Amhara where 12,000 students reportedly staged a walk-out.

Cheating and fraud have marred previous exams in Ethiopia, so this time they were held under strict supervision in universities across the country last October.

A new procedure will be put in place to get more students into universities with re-examinations in subjects with lower scores, Mr Berhanu said.


Source: BBC
 
Hatari sana... Ingekua Bongo sijui tu nini kingetokea.
 
Back
Top Bottom