Ethiopia wameanzisha vituo vya Polisi vya kidigitali, unatoa taarifa moja moja bila kuonana na Polisi

Ethiopia wameanzisha vituo vya Polisi vya kidigitali, unatoa taarifa moja moja bila kuonana na Polisi

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134

Ukienda Polisi kutoa Taarifa hukuti Afisa wa Polisi kwenye meza ya mapokezi, hukuti makaratasi bali unakuta vifaa vya kidigitali pekee. Ni vituo janja vya polisi ambapo mtu anaweza kutoa taarifa yeye mwenye moja moja kwa kuweka taarifa hiyo kwenye vifaa janja na Polisi kupokea taarifa na kujibu kwa vifaa janja iwapo inabidi, hakua kuonana.

Credit: BBC
 
Sijaelewa andika na maelezo maana siku hizi hata AI anaweza kutengeneza Video kisha weka na Source
 
Back
Top Bottom