zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Eeh mbona Israel kavamia Gaza hamna kitu amefanywa ndio sembuse Ethiopia kuvamia nchi dhaifu ya djibouti?Hivi unaona ni rahisi
Tanzania tuna adui mmoja tu Chama Cha MambuziNiliwahi kuandika hivi:
Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...www.jamiiforums.com
Hapo sasa umeleta uchizi bila maarifa.Tanzania tuna adui mmoja tu Chama Cha Mambuzi
Coast line yote ni mali ya DPW, hatuna chetuNchi ya Ethiopia hawana bahari wanaomba Somalia wawape hata tu 20 km ya ufukwe na kila kitu kitabadilika vs Tanzania tuna zaidi ya 1500 km coast line kutoka tangagiza mpaka Mtwara ni bahari tupu lkn ni uchuuzi tu wa kuleta imports ktk China na kujenga fremu za GSM & co. uchumi wote bazaar tu hakuna cha maana, tatizo ni nini ?
View attachment 2864418
Mwisho umerudi pale pale. Kuwa issue hapo ni kuwa utawala mbovu na watu kuamua kuacha kutumia akili kabisa. Sisi machizi tunaruhusiwa kutotumia akili maana hatuna. Nchi yetu inahitaji Overhaull.Hapo sasa umelta uchizi bila maarifa.
Ulizuwiwa wapi kuutumia ufukwe wa Tanzania kwa shughuli zako zozote zile?
Wenzako wamechukuwa wameweka uzio wa mikoko nje ya miji huko, katikati wamefanya sehemu wanaziita "Beach Camping site" lakini ukweli wamezifanya "nude beach", uwekezaji ni kuielekeza mikoko tu iote watu washindwe kupita kukera watu wenye kujianika. Wanajianika wanalipia kwa kila kichwa 20,000 tu kwa huduma ya maji baridi iliyowekwa.
Ukitaka hema unakodisha, ukitaka uwekewe kinga ya jua ya makuti unalipia.
Wewe kaa tu uwasubiri Ethiopia, wenzako wanapiga pesa kiulaini kabisa, hata TRA hawana ujanja hapo.
Mwisho umerudi pale pale. Kuwa issue hapo ni kuwa utawala mbovu na watu kuamua kuacha kutumia akili kabisa. Sisi machizi tunaruhusiwa kutotumia akili maana hatuna. Nchi yetu inahitaji Overhaull.Hapo sasa umelta uchizi bila maarifa.
Ulizuwiwa wapi kuutumia ufukwe wa Tanzania kwa shughuli zako zozote zile?
Wenzako wamechukuwa wameweka uzio wa mikoko nje ya miji huko, katikati wamefanya sehemu wanaziita "Beach Camping site" lakini ukweli wamezifanya "nude beach", uwekezaji ni kuielekeza mikoko tu iote watu washindwe kupita kukera watu wenye kujianika. Wanajianika wanalipia kwa kila kichwa 20,000 tu kwa huduma ya maji baridi iliyowekwa.
Ukitaka hema unakodisha, ukitaka uwekewe kinga ya jua ya makuti unalipia.
Wewe kaa tu uwasubiri Ethiopia, wenzako wanapiga pesa kiulaini kabisa, hata TRA hawana ujanja hapo.
Jamaa ni ngangari amechimbiwa mkwara mkubwa na Egypt, Sudan, US kuhusu bwawa la umeme, hakuyumba, yupo zaidi kwa maslahi ya Ethiopia.Kweli kabisa mkuu
Wakati mwingine sacrifices ni muhimu kwa nchi
Sisi bado sana
Hutumii akili, wanakuwachia fursa, wanajuwa huyu pesa yenyewe mpaka aje mtu camping, wawache kwenda kukusanya pesa kwa Ghalib huko akiingia kusalimia akitoka anatoka anatoka na guko la caash aje camping sote muangaishane?Mwisho umerudi pale pale. Kuwa issue hapo ni kuwa utawala mbovu na watu kuamua kuacha kutumia akili kabisa. Sisi machizi tunaruhusiwa kutotumia akili maana hatuna. Nchi yetu inahitaji Overhaull.
Imechoka haina jipya viongozi na wananchi mmeamua kuwa machawa. Mkiamua kusifia Rais mnasifia. Mkiamua kukosoa mnakosoa. Waziri mkuu wa Ethiopia amefika hapo kwa kuamua kuchapa kazi kweli kweli. Siyo maneno na maigizo.
Watanzania mnapenda sanaa za maigizo hamwezi endelea kama kila kitu mtamtegemea mzungu, mchina au mwarabu. Hamtaki kukaza makalio mpambane. Viongozi wengi mnachagua ni wale wasio na akili, wasio na maono. Lazima nchi ituelemee.
Mimi kupiga pesa napiga. Sema kuna kipindi nakuwa na huruma. Kama binadamu. Lakini nikisema kuwa sijafaidika na serikali hii nitakuwa muongo. Lakini huwa nakaa nawaza hawa wananchi wengine wanaishije.Hapo sasa umeleta uchizi bila maarifa.
Ulizuwiwa wapi kuutumia ufukwe wa Tanzania kwa shughuli zako zozote zile?
Wenzako wamechukuwa ardhi za ufukweni nje ya mji huko, wameweka uzio wa mikoko, katikati wamefanya sehemu wanaziita "Beach Camping site" lakini ukweli wamezifanya "nude beach", uwekezaji ni kuielekeza mikoko tu iote watu washindwe kupita kukera watu wenye kujianika. Wanajianika wanalipia kwa kila kichwa 20,000 tu kwa huduma ya maji baridi iliyowekwa.
Ukitaka hema unakodisha, ukitaka uwekewe kinga ya jua ya makuti unalipia.
Wewe kaa tu uwasubiri Ethiopia, wenzako wanapiga pesa kiulaini kabisa, hata TRA hawana ujanja hapo.
Hutumii akili, wanakuwachia fursa, wanajuwa huyu pesa yenyewe mpaka aje mtu camping, wawache kwenda kukusanya pesa kwa Ghalib huko akiingia kusalimia akitoka anatoka anatoka na guko la caash aje camping sote muangaishane?
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake. Uambiwe nini tena?
Serikali hii imeshatangaza inatengeneza mabilionea.Mimi kupiga pesa napiga. Sema kuna kipindi nakuwa na huruma. Kama binadamu. Lakini nikisema kuwa sijafaidika na serikali hii nitakuwa muongo. Lakini huwa nakaa nawaza hawa wananchi wengine wanaishije.
Nakubaliana nawe. Wacha tule kwa urefu wa kamba zetu. Kila mwenye meno ajipakulie minyama... Safi sana.Serikali hii imeshatangaza inatengeneza mabilionea.
Kila awamu na kitabu chake. Ukiweza tengeneza, ukishikwa usilalamike.
Kenyatta alikuwa anawaambia wakenya "uchumi mnao mnaukalia" akatengeneza mamilionea kibao wakikenya. Watu wakasingizia eti msemo wa nyerere. Nyerere alikuwa anataka mtu awe tajiri? Nyerere ni kama Magufuli walitaka wote tuwe masikini isipokuwa wanaowataka wao tu.
Mama Samia alivyoziwachia fursa sasa hivi, ushindwe mwenyewe tu.
Lazima afanye hivyo kwa maslahi ya nchiJamaa ni ngangari amechimbiwa mkwara mkubwa na Egypt, Sudan, US kuhusu bwawa la umeme, hakuyumba, yupo zaidi kwa maslahi ya Ethiopia.
Kwa nchi ya pili kwa ukubwa Afrika, 13 duniani, yenye historia ndefu, utamaduni mkubwa, mzuri, kuliko nchi nyingi duniani kwa zaidi ya miaka 3000. Ethiopia imepata kiongozi sahihi kuweka misingi ya kuirudisha sehemu inayostahili.
Plan yao ni kuwa kama China ya Afrika, kuweka mazingira viwanda vingi kufunguliwa, kuwa hub ya business financial services, hub ya ndege kama Dubai, na kivutio kikubwa cha utalii.
Hivyo muhimu kwao kuwa na military presence na bandari kutimiza mipango yao.
Kabisa imagine unanunua silaha zinapitia kwa wengine. Export, import zako zote lazima zipitie kwa wengine. Meli zako huko baharini zilindwe na navy za wengine. Ukigombana na jirani, anaweza kukuzuia kutumia bandari yake. Kupiga hatua haraka ni changamoto kidogo.Lazima afanye hivyo kwa maslahi ya nchi
Ukiangalia mataifa mengi makubwa yako maeneo hayo haswa Djibouti na ndio maana mpaka Mchina kasogea hapo
Walianza usa
Na yeye kaona fursa kubwa kijeshi na bandari pia ni kuiomba serikali ya Muse ajisogeze nae baharini
Mkuu nchi bila bahari ni msala mkubwa sana
Huna nguvu kabisa ila upo tu
Nilienda Addis mara mbili aisee ila kwa utawala wa huyu jamaa sijaenda
Ila ntaenda tena nikaone mwamba kafanikisha mangapi kwa macho
Mkuu, Iraq is almost landlocked countryKabisa imagine unanunua silaha zinapitia kwa wengine. Export, import zako zote lazima zipitie kwa wengine. Meli zako huko baharini zilindwe na navy za wengine. Ugombana na jirani, anaweza kukuzuia kutumia bandari yake. Kupiga hatua haraka ni changamoto kidogo.
Lack of vision. Tuna nchi kibao zinatuzunguka kuna watu zaidi ya milioni mia moja wanahitaji kutumia bandari zetu kwa mahitaji yao muhimu. Hii rasilimali moja tu ya kimkakati kwa nchi makini ingetutoa.Mkuu, Iraq is almost landlocked country
Nilikuwa huko miaka ya 80 na Iraq alipoivamia Kuwait, jamaa alifurahi sana na kutangaza kuwa sasa tumeongeza mkoa wenye bahari
Yaani tunatoka Zakho mpaka baharini (Q8)
Imagine wairaq walifurahi sana kuwa na bahari ila kwa mda tu
Halafu sisi tuna bahari tena kipande kikubwa sana ila wala
Unafikiri hawalijui hilo, wanalijua sana ila ni uroho wao tuLack of vision. Tuna nchi kibao zinatuzunguka kuna watu zaidi ya milioni mia moja wanahitaji kutumia bandari zetu kwa mahitaji yao muhimu. Hii rasilimali moja tu ya kimkakati kwa nchi makini ingetutoa.
Unafikiri hawalijui hilo, wanalijua sana ila ni uroho wao tu
Huwa naomba Mungu aje mtu ambae atapambana na wizi wa mali ya umma na sio bla bla ooh naanzisha mahakama ya wahujuma uchumi hell No tunataka watu wafungwe hata miaka 50 na wafie jela
Wangefungwa hata 300 haraka basi naona wangenyooka
Wonasiasa kama wanahonga ili wachaguliwe na kuja kuiba mali za umma hao ndio wa kufungwa maisha
Ila tatizo wanajuana wote
Tuliaminishwa Magu hana makundi lakini hakufunga majizi
Mpaka anakufa kuna miradi mingi ilipigwa haswa
Na kuna watu wametajirika sana kwa haramu wakati wa utawala wake
Kwa unafiki hawajambo sana na sidhani kama tutafika mahali
Zanzibar wanaibeza ila ipo siku watafika mbali sana
Benevolent dictatorNi kweli jamaa anastahili sifa zote ila kapambana na watu wengi wamekufa pia
Wapinzani na wananchi wa kawaida aliwauwa sana 2020
Jamaa ni Modern Dictator kama wanavyomuita wachambuzi au Charming Dictator
Kweli kaibadili sana Ethiopia ila kwa ukatili kama nchi za kimasikini zinavyotaka kupata maendeleo kwa mtutu
"Sisi bado tunawakenulia meno majizi ya mali za Umma na hakuna bado mtu wa kutufikisha juu kwenye utajiri
Nisikuchoshe jisomee kidogo makala hayaView attachment 2864593