Ethiopia wanaomba hata kilomita 20 tu za ufukwe, Tanzania tuna zaidi ya kilomita 1500 lakini hakuna cha maana. Shida ni nini?

Sikubaliani na kauli zako. Hii ni nchi ya kidemokrasia, udikteta wa Magufuli ulikuwa hauna nafasi na ndiyo maana alikufa mapema kwa uwongo aliokuwa anawalisha, kuwapeleka rumande wale aliokuwa hawapendi, kunyang'anya fedha za wafanya biashara na kuua wakosoaji.

Kama alikuwa anataka kututawalq KIDIKTETA basi alipaswa awe amepindua nchi kama akina Kagame na Museveni, lakini yeye alikuja kwa sanduku la kura.

Huwezi kuja kwa sanduku la kura halafu ukataka kutawala KIDIKTETA NO, lazima na wewe ufe
 
Ethiopia na Eritrea walikuwa nchi moja sijui waligombea Nini wakawa kama Sudan kusini na kaskazini
Ethiopia inahangaika sana, na bado haielewi iishi vipi na jirani zake. Kimsingi wameonyesha udhaifu mkubwa sana, kwani mtaka yote hukosa yote.

Hivi, kuishi bila bahari unakuwa nchi pungufu? Nawasihi Ethiopia kutumia diplomasia nzuri na majirani zake, vinginevyo nchi hiyo kubwa itakuwa kama ile Yugoslavia iliyopotea katika ramani ya dunia.
 
Ila kwa kuwa nchi ilikuwa haiyajui haya mambo aliyokuwa anahimiza
Wao waliona kama anawakomoa
Laiti angekuwa na watu kumi wa kaliba yake sawa
Ila walikuwa wanamsanifu tu na kucheza ngoma anayotaka
Angeyafunga majizi ya na wabadhirifu miaka hata 50 sawa
Ila aliwaangalia na kuwabadili na au kuwafukuza tu
Nchi inataka iende kwa maadili na kazi kwa wote
Katiba na sheria zilikanyagwa na chache kufuatwa
Ila alijitahidi sana kwa nafasi yake akijua kuna wanafiki na wanaomlia timing kumuuwa
Alikuwa anasisitiza sana kuombewa akijua ni kazi nzito
Lakini angekuwa na watu wa speed yake wa kweli bila wizi na uuwaji tungesogea mbali

Nimekuelewa sana mkuu
Kuendesha nchi inataka maarifa makubwa sana na akili ya ziada
 
Wewe mkuu una kitu,naamini kimaisha uko mbali kidogo.
 
Umeandika kama Bashe kabla hajawa waziri wa kilimo lakini baada ya kuwa waziri alichokileta ni BBT mradi wa kiupigaji

Tangu awamu ya kwanza wawekezaji wamekuepo tatizo ni aina ya mikataba na ata huu mkataba wa bandari kuna siku tutaona Madudu yake
Serikali ya CCM kwa asilimia kubwa mikataba inayoingia na wawekezaji aina manufaa kwa taifa letu mingi ni ya kifisadi
 
CCM,CCM,CCM,CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…