MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika Jimbo jirani la Ahmara.
Waasi hao wa Kaskazini mwa Ethiopia ambao wamekuwa wakipigana na vikosi vya SERIKALI kuu ya Addis Ababa kwa mwaka Mmoja Sasa, wanaonesha Nia ya dhati ya kuanza kuushambulia mji mkuu wa Nchi hiyo wa Addis Ababa. Lakini SERIKALI ya Ethipia imesema kuwa bado vikosi vyake vinapambana na wapiganaji hao.
Waziri Mkuu huyo amewataka Raia wote wa Nchi hiyo ambao wanamiliki Siraha Kinyume Cha sheria wazisajiri Siraha zao ndani ya mda wa siku mbili ili kujiandaa kuulinda mji mkuu wa Addis Ababa.
Waasi hao wa TPLF wameungwa mkono na Wapiganaji wa jimbo la Oromo ambao wameonesha Nia ya kumuondoa Waziri Mkuu huyo Madarakani
Msemaji wa TPLF amesema kuwa,Nia yao haikuwa kupigana na vikosi vya SERIKALI nje ya Jimbo lao la Tigray, lakini kutokana na Mzingiro uliwekwa na Serikali ya Addis Ababa dhidi ya Jimbo Hilo umesababisha Ukosefu wa huduma mhimu za kijamii Katika Jimbo Hilo kitu ambao TPLF haiwezi kukubali kuona Wananchi wa Jimbo Hilo wakihangaika kwa kukosa Chakula, Maji na Madawa.