BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Nina rafiki yangu KE toka huko alitaka kwenda kumuona mama yake mgonjwa na utu uzima tena lakini anaogopa kutia mguu. Tukiongelea hili mimi humwambia Abiy alianza vizuri kisha akaharibu sasa ITAKULA kwake yeye bado anamfagilia sana Abiy na kuwasagia "Waasi" wa Tigray. Nchi ndiyo imeshaharibika hiyo. Afrika bado tuna safari ndefu sana.
Watu walionya sana PM kuanzisha vita Tigray sasa mambo yamekua mahumu hadi Adis Ababa...sasa ni rasmi ni suala la muda tuu Ethiopoa itakua haitawaliki tena