ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
wewe ni Jinga lingine la kanda ya ziwa....na nyie sukuma Gang bado moto unafukuta...mmetutesa sana nyie!Unatumia tu akili bila ushabiki kwaba ni kweli JPM alikua mtu wa haki,hakupenda mali za waTanzania ziende hovyo na alidili na wananchi wanaounga mkono udhalimu wa mabeberu, hao ndiyo wanaoaminisha kwamba JPM hakua mtu wa haki kwa sababu walibanwa,walikua wanaiuza nchi na waliokua wanafaya biashara walikua wakipora kodi ya serikali
Watu msiwe mnaishia ushabiki tu bila kufikiri kwa makini
Rais anakufa kama mwananchi masikini wa kawaida ulisha ona wapi