Hakuna figisu yoyote kutoka kwa yoyote ni ukabila tu ndio unaowasumbua toka enzi hata waethiopia wakiwa nje ya nchi yao wanabaguana hata hawaoani. Ilianza Eritrea wakajitenga, sasa ni Tigray, Oromo nao mbioni, Ogaden wao wanajijua ni wasomali licha wako Ethiopia na Afar jimbo lingine nao wanataka kujitenga it is a divided nation.
Ni udikteta tu ndo ulikuwa unaleta utulivu na Melez Zinawi aliweza kwa njia iyo. Hata Misri isingekuwa ubabe na udikteta wa Hosni Mubarak na sasa Abdel Fattah taifa lingegawanyika zamani.
Sometimes 1naungaga mkono utawala wa Paul Biya Cameroon na Paul Kagame.