Ethiopia yazindua Huduma ya Mtandao ya 5G

Ethiopia yazindua Huduma ya Mtandao ya 5G

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Simu inayomilikiwa na serikali nchini Ethiopia, Mei 9 ilizindua huduma ya simu za mkononi ya 5G na kuifanya nchi hiyobkuwa miongoni mwa nchi chache zenye huduma hiyo barani Afrika, ikiwa ni pamoja na Kenya katika Afrika Mashariki,

Mkurugenzi Mtendaji wa Ethio Telecom, Frehiwot Tamru amesema mtandao huo utapatikana kwa “hotspot” katika mji mkuu Addis Ababa, kabla ya kupanuliwa kuzunguka maeneo mengine ya nchi hiyo

Inaelezwa kuwa Ethiopia imelipa takriban dola milioni 40 kwa kampuni ya Huawei ya China kupeleka mtandao huo ambao unatarajiwa kuleta mapinduzi ya kimaendeleo katika sekta muhimu kama elimu na kilimo

......................................................

Ethio Telecom, the state-owned telecom service provider in Ethiopia, on Monday launched 5G mobile phone service making Ethiopia among the leading few African countries, including Kenya in eastern Africa, to roll out the technology.

According to Ethio Telecom, the network will be available on hotspot areas in the capital Addis Ababa, including in the area around Ethio Telecom's head office and at the premises of Bole International Airport, before being expanded to cover other parts of the country.

“The 5G service is launched in selected places in Addis Ababa,” Ethio Telecom CEO Frehiwot Tamru announced during a launch ceremony.

“In the coming 12 months, we will have 150 5G sites in Addis Ababa and in major cities outside the capital.”

5G commercial networks have been launched in key countries such as Botswana, South Africa, Seychelles, Mauritius and Zimbabwe, but the technology remains largely underdeveloped in larger parts of Africa.

The EastAfrican has learnt that Ethiopia has paid about $40 million to China’s Huawei company to deploy the network.

Source: The Citizen
 
Bongo msiombe 5G maana mnapenda lia lia mkipewa True 5G GB moja dakika 4 kwisha
 
Lakini waethiopia wanaikimbia nchi yao tena kinyemela kwenda kutafuta maisha nchi za nje na kuishia kufungwa kwenye magereza ya Tanzania na wengine kufia ndani ya malori kwa kukosa hewa sasa hiyo sijui 5G ina faida gani kwao.

Wako tu kama wachina ambao serikali yao imeanzisha programu aghali ya kwenda anga za juu wakati wananchi wao wakikimbilia nchi za nje kwenda kufanya umachinga.
 
Back
Top Bottom